hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 490
- 459
mh..Inaendelea?
naujua umasikini na naujua utajiri ukiniambia nichague kipi kati ya hivi viwili bado nitakwambia nachagua utajiri.Ushawahi kujiuliza utajiri maana yake nini?
Kwa mujibu wa biblia solomononi alikua mtu tajiri sana yeah tajiri wa vitu,madini,wanawake na hekima.
Lakini alikufa akiwa na uchungu mwingi, alikufa akiwa na uhakika wa ufalme wake kigawanyika uzao wake ukibaki na koo mbili tu za yuda na benyamini. Alikufa na majuto mpaka kuandika kitabu cha mhubiri chenye msemo maarufu wa hakuna jipya chini ya jua.
Kwa mtazamo wangu Adam alikua tajiri sana japo aliranda bila nguo kabla ya anguka, hakuwa na ubinafsi wa ziada. Hakuihitajia zaidi ya chakula na malazi Mpaka pale alipokuja hawa na kumuangusha dhambini NA HUO UKAWA MWANZO WA "Kutengenezwa kwa uhitaji yaani demand.
Demand is created by fake illusion of wanting to fullfill desires"
USHAWAHI KUJIULIZA MAGARI MATANO YA NINI IKIWA HUEZI ENDESHA YOTE AT ONCE,,
Kuna hekima imejificha ndani ya maneno haya,asomaye na afahamu.Ushawahi kujiuliza utajiri maana yake nini?
Kwa mujibu wa biblia solomononi alikua mtu tajiri sana yeah tajiri wa vitu,madini,wanawake na hekima.
Lakini alikufa akiwa na uchungu mwingi, alikufa akiwa na uhakika wa ufalme wake kigawanyika uzao wake ukibaki na koo mbili tu za yuda na benyamini. Alikufa na majuto mpaka kuandika kitabu cha mhubiri chenye msemo maarufu wa hakuna jipya chini ya jua.
Kwa mtazamo wangu Adam alikua tajiri sana japo aliranda bila nguo kabla ya anguka, hakuwa na ubinafsi wa ziada. Hakuihitajia zaidi ya chakula na malazi Mpaka pale alipokuja hawa na kumuangusha dhambini NA HUO UKAWA MWANZO WA "Kutengenezwa kwa uhitaji yaani demand.
Demand is created by fake illusion of wanting to fullfill desires"
USHAWAHI KUJIULIZA MAGARI MATANO YA NINI IKIWA HUEZI ENDESHA YOTE AT ONCE,,
Umaskini halisi ni upi na utajiri fake ni upi? Naona kama uzi unaendelea....?Ushawahi kujiuliza utajiri maana yake nini?
Kwa mujibu wa biblia solomononi alikua mtu tajiri sana yeah tajiri wa vitu,madini,wanawake na hekima.
Lakini alikufa akiwa na uchungu mwingi, alikufa akiwa na uhakika wa ufalme wake kigawanyika uzao wake ukibaki na koo mbili tu za yuda na benyamini. Alikufa na majuto mpaka kuandika kitabu cha mhubiri chenye msemo maarufu wa hakuna jipya chini ya jua.
Kwa mtazamo wangu Adam alikua tajiri sana japo aliranda bila nguo kabla ya anguka, hakuwa na ubinafsi wa ziada. Hakuihitajia zaidi ya chakula na malazi Mpaka pale alipokuja hawa na kumuangusha dhambini NA HUO UKAWA MWANZO WA "Kutengenezwa kwa uhitaji yaani demand.
Demand is created by fake illusion of wanting to fullfill desires"
USHAWAHI KUJIULIZA MAGARI MATANO YA NINI IKIWA HUEZI ENDESHA YOTE AT ONCE,,
Sawa, Lini HiyoInaendelea?
๐Pesa sio kila kitu, ila ndio kitu chenyeweโฆ..
Na kwa kizazi cha sasa pesa ndio utajiriโฆ๐
ConsumerismUshawahi kujiuliza utajiri maana yake nini?
Kwa mujibu wa biblia solomononi alikua mtu tajiri sana yeah tajiri wa vitu,madini,wanawake na hekima.
Lakini alikufa akiwa na uchungu mwingi, alikufa akiwa na uhakika wa ufalme wake kigawanyika uzao wake ukibaki na koo mbili tu za yuda na benyamini. Alikufa na majuto mpaka kuandika kitabu cha mhubiri chenye msemo maarufu wa hakuna jipya chini ya jua.
Kwa mtazamo wangu Adam alikua tajiri sana japo aliranda bila nguo kabla ya anguka, hakuwa na ubinafsi wa ziada. Hakuihitajia zaidi ya chakula na malazi Mpaka pale alipokuja hawa na kumuangusha dhambini NA HUO UKAWA MWANZO WA "Kutengenezwa kwa uhitaji yaani demand.
Demand is created by fake illusion of wanting to fullfill desires"
USHAWAHI KUJIULIZA MAGARI MATANO YA NINI IKIWA HUEZI ENDESHA YOTE AT ONCE,,
Somo limemuingia leo๐๐Umeleta mambo ya jumuiya huku JF!
Nimejikuta nimetabasamu tu๐mh..
Naenda kutafuta mkate wa kila siku maana huku baba yetu
Hatoagi
Aseme Yuko wapi...๐Inaendelea?