kuna mapepo yanatoa utajiri kama mammon na valak
sema kuyaita ni kazi
unatafuta utajiri na huna uchu wa kujua mambo
kuna vitabu vya uchawi(grimoires) na fani ya mapepo kabisa(demonology) kwa nini usisome?
watafute satanists
mimi ambaye siamini haya mambo nakushinda kwa kuyajua!