Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,556
- 7,386
Mbona kuhonga nimelisemaKama unahonga vizuri huna haja ya kusumbuka. Utatafutwa mpka uchukie. Utafiti wako batili shekhe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri kama hakupendi kwanini anakuomba hela ya vocha nasio mkopoUkiona hivyo Jua hupendwi, Lala mbele
Nitakafamyia kazi nirudishe feedbackBut, Demu kama unaanza kumvizia sio mbaya kujiptndekezapendekeza ili akuzoee na akuelewe zaidi... Kadri utakavyokuwa karibu take ndipo naye atakuzoea mwsho wa siku mtumwa atakuwa yeye
1. Honga
2. Piga shows za maana (dkk 90)
3. Zawadi
4. Mawasiliano (sms + kupiga )
Utatafutwa hadi midnight.
Sent using Jamii Forums mobile app
But, Demu kama unaanza kumvizia sio mbaya kujiptndekezapendekeza ili akuzoee na akuelewe zaidi... Kadri utakavyokuwa karibu take ndipo naye atakuzoea mwsho wa siku mtumwa atakuwa yeye
Mahusiano ya saivi bila kutumia akili bc utabaki kuugulia kila siku maumivu so lazima uongee jombaa ukianza mapenzi mapya teka kwanza hisia za mwenza wako mpe muda wako badaye Anza kujilia tunda utakavyo tena atakuletea ata usiku wa manane*yani mahusiano ya siku hizi kama mwanaume hujipendekezi kupiga simu,kuhongahonga na kutumatuma vimeseji meseji basi hayo mahusiano yanakufa*[emoji12][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Ni Uvivu tu wa kindezi wa wanawake, kwani effort ya mahusiano inatoka upande mmoja au pande zote mbili?*yani mahusiano ya siku hizi kama mwanaume hujipendekezi kupiga simu,kuhongahonga na kutumatuma vimeseji meseji basi hayo mahusiano yanakufa*[emoji12][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
One step ahead mkuuMahusiano ya saivi bila kutumia akili bc utabaki kuugulia kila siku maumivu so lazima uongee jombaa ukianza mapenzi mapya teka kwanza hisia za mwenza wako mpe muda wako badaye Anza kujilia tunda utakavyo tena atakuletea ata usiku wa manane
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakachotoa kwako atakitaja mwenyewe.Na yeye anafanya nini / anaoffer nini wakati huo..
Wanaume tuache kuwa maboya, watumwa
Sent by anonymous user
Atakachotoa kwako atakitaja mwenyewe.
Mimi nimetaja yanayotuhusu baadhi ya wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app