Utafiti wangu binafsi katika swala hili
Nikwanini katika group au magroup na hata katika mitandao mingine ya kijamii wanaume huwa wanakuwa kipaumbele[emoji2215] kumfata mtu ibox[emoji395] kwa mawasiliano[emoji338] ya kimauhusiano ya kimapenzi??
Asa asa wanaume!!
Unafikri ni kwasababu gani?