Ni asili hiyo tumeumbiwa, pale unapokojolea unapatemea mate, na mazoea pia yamezidi.
Mambo mengi hayana tafsiri sahihi, kiafya, kisayansi, wala kidini, tumejikuta tu ipo hivyo.
Mfano mdogo, ushawahi kujiuliza mnyama mbwa (hasa dume), kama umewahi kufuga, kwa nini kila baada ya hatua kadhaa, kama unaenda nae mbali, lazima akojoe kidogo na kuendelea na safari?!
Maoni yangu. Kama kuna mdau anaushahidi wa kueleweka na kitaalamu, auweke humu ili tujifunze zaidi.
Ila kama ni utafiti wako, mbona kama haukuja na majibu vile, na ni kama umeuleta kwa njia ya swali.
Ahsante!