Utafiti: Wanawake weupe wanaringa kuliko weusi

Wanawake weupe umemaanisha Wazungu(Whites)?????

Maana nijuavyo Waafrika hakuna mweupe ila wote ni Weusi(Blacks)
 
Wewe una inferiority complex,unahitaji therapy kama sio counselling,hivyo basi nenda ukapate matibabu ili uondokane na kutojiamini au vipi?,hakuna cha mweusi wala mweupe wala albino dunia hii,uzuri uko machoni kwa muonaji au mwenye macho yake au vipi?,kuna wanawake weusi wazuri kuliko malaika hapa duniani,kuna wanawake wazuri weupe wazuri hapa duniani,kuna wanawake wazuri Albino hapa duniani etc etc,sasa kama wewe umeona weupe ni wazuri zaidi ni wewe tu au macho yako au vipi?,usilete ubaguzi ambao utawafanya binadamu wengine wajione wana mapungufu,kama wewe uliwashobokea weupe wakakudharau hiyo inawezekana wewe ni fala tu au hujui jinsi ya kuwaingia hao weupe,au inawezekana ushamba wako ndio ulikuponza,mbona sisi wengine ni weusi kama chungu tena wabaya wa sura,lakini tunawala kisamaki au kichapati,na wanatulilia sana,na makofi tunawachapa lakini bado wanataka mishedede usiku kucha? na tukiwanyima kuwatia wanataka kujinyonga?
 
Tumeambiwa na mdau mmoja kwamba papuchi zao zinanuka kama tembo John kajamba.
 
Najua hali ni tete,ndo maana wananuka kama mfuzi wa tembo au?,naomba ufafanue,maana Faru John nae alikuwa ananuka **** kama wao.
 
Mimi huwa rangi sio mpenzi sana akiwa na rangi yoyote ila asikose msambwanda wa maana hapo nitahonga ndege
 
Acha uongo,na usijidai kutoa ushahidi usiokuwa na uhakika kefule weye,unaposema walikuwa malaya sana,una maana gani?mbona mama yako ni mweupe na sisi hatusemi kuhusu yeye,eti ooh wana utoko wa fungus,oooh fungus candidas,.,.hivi wewe unajua maana ya fungus candidas weye kenge bluuuu?,oooh hasa ukimkuta mwembamba shida sana ebooooo,kenge sana wewe au ?,humu jukwaani kuna wasomi wa uhakika tena wamebobea katika kila fani,so chunga sana wewe mwenye PSYCHOSOMATIC DISSORDER.
 
Nakubal coz kuna demu kanizingua ndooo ivo wanajiamin the end huishia pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…