Utafiti: Wanawake wa Dar hawajawahi kuwa na nauli

Siku hz tunambinu mpya nakodi pikipiki nikifika unamlipa mwenyewe pkpk
Kuna demu fala sana alinilipisha 20,000 ya tax, 15,000 guest tukapiga na misosi kama ya buku 10, halafu mda wa gemu ananiambia ananyonyesha na yupo katika siku zake, ila alikuja tu kuniarifu Birthday yake. Nilitoka guest nikajifanya naongea na simu sikurudi, baadae ananipigia simu uko wapi anataka hela ya zawadi na nauli. Nikamwambia nisubiri baby nakuja nikazima simu
 
Mkuu 45000 ukaambulia patupu daah
 
Ananyonyesha alafu yupo kwenye siku zake????huyoo aliua dadekii...
 
Mkuu unaombwa nauli buku tatu??safi sana wengine nauli haiwezi kuwa chini ya kumi aisee

Tena kitu cha uber,nililiwa mara moja tu huo mchezo wa kutuma nauli
 
Ni kweli wapo wa namna hiyo akiwa ananyonyesha bado anakuwa akiziona siku sake na wengine hawzioni
Ahaa sijakataa inawezekana ilaa Alikuwa na majanga mengi kukwamisha mechi...Unakwepa maziwa unakutana na damu...
 
You want Brazilian hair? buy it,,,you want Gucci sneakers? buy them, you want an iPhone? buy it, you want money? get a job..

This extreme financial dependence on man got to stop!
 
Back
Top Bottom