mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,150
Ndugu mwanaJF
Shiriki katik kutoa ushauri wako hapa nini bodi ya mikopo ya elimu ya juu ifanye ili kuvutia wadaiwa wengi zaidi kuvutika kurudisha madeni yao bila ulazima wa bodi kutumia nguvu na fedha nyingi kufuatilia wadaiwa.
Binafsi nashauri hivi. Kiwango cha marejesho kipunguzwe hadi asilimia 5 badala ya 8 mpaka kumi ya sasa. Hii itafanya watu wengi wahamasike kurudisha kwa sababu makato kwenye mishahara yao hayatawaumiza. Hii ni kwa sababu chukulia kwa mfano mtu anayelipwa 1m kwa mwezi, awe na marejesho ya mkopo benki labda laki 2.5. Akatwe PAYE laki labda laki 1.2, alipe NHIF labda laki 0.7; ,Utaona jumla ya makato ni laki 4.1. Sasa weka marejesho ya HESLB 8% ni 80000. Jumla kuu ya makato inakuwa laki 4.9. Maana yake unabaki na takehome laki 5.1. Unawezaje kuishi kwa pesa hii kwa mwezi? Ni wazi mtu wa namna hii atakwepa kurudisha mkopo kwa kila namna maadam bodi hain namna ya kumtambua.
Ndio maana nashauri asilimia ya marejesho ipunguzwe hadi tano ii kumpa nafuu kidogo huyu mtu na kuhamasisha urejeshwaji kwa hiari. Wale wanaopenda kukatwa zaidi wawe huru kufanya hivo.