Utafiti wa wanaharakati

Utafiti wa wanaharakati

Joined
Oct 16, 2013
Posts
58
Reaction score
39
Wanaharakati tumebaini asilimia 99 ya viongozi wanasiasa hapa tanzania ni wezi wa fedha ya umma,aidha tumebaini kuwa viongozi wengi wana tamaa ya madaraka na hawana uzalendo kabisa ingawa wanajifanya wazalendo,viongozi hawa ni walafi kama nguruwe,tuandikie jina la kiongozi mwenye sifa za nguruwe ili tukamilishe utafiti wetu na majina yatawekwa hadharani bila kuficha.
 
Attachments

  • 1396783768497.jpg
    1396783768497.jpg
    38.1 KB · Views: 201
utafiti wa aina hii ni wa hovyo kabisa. huwezi kupata data za kweli maana wengine wanachuki na watu tu na wataishia kuwataja humu. tafuta njia ingine ya kufanya utafiti wako. if you are too low, do not do it.
 
kuonesha msisitizo wa self hating labda mimi nianze
1. Dr. Shein
 
Sasa jamani utafiti umeonyesha kuwa ni 99% sasa majina yao ya nini tena, kama utafiti ni sahihi basi ungeuliza majina ya wale 1% iliyobaki. kwa lugha ya utafiti 99% ni sure event Kuuliza majina maana yake hata mleta uzi huna hakika
 
siamini hata kama anajua huyo mleta thread maana ya utafiti. anyway hizo ni akili za bavicha wala sishangai.
 
Back
Top Bottom