Mazoko
JF-Expert Member
- Jul 10, 2009
- 674
- 186
Kutokana na utafit uliofanywa na International political economy (IPE) umebaini kwamba Tanzania ndio nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na maprofesa wengi wanasiasa. Bwana John Lexburg kutoka shirika hilo alikaririwa akisema, tatizo kubwa la nchi za kiafrika ni kutojua ni nini maana ya siasa, akaongeza na kusema profesa kuingia kwenye siasa ni sawa na nchi kugharamia kutengeneza ndege halafu ikaamua kuitumia hiyo ndege kama basi la abiria. Bwana John akashauri maprofesa wote na phd holders kujikita kwenye utafiti kwa ajili ya kuiinua nchi.