Wanaume wenzangu,hili swala nguvu za kiume ,Mimi nahisi halipo ,
MAMBO YANAYOCHANGIA MWANAMME KUPIGA 1NA KUONEKANA KACHOKA
¹Mawasiliano yake mke
Unakuta Mme upo kazini unampigia Sim hapokei Mara kadhaa,
²unarudi nyumbani hakujali ,hakupi pole,
³wala hakuulizi habari za ka Mme wangu,
SASA HAPO UNAENDA KULALA ,HUNA AMANI HUNA FURAHA,UNAHISI ANA KUSALITI,NGUVU ZA ROUND 2_3 ZNATOKA WAPI?
Ukienda kwa mchepuko unapiga mambo,hadi unaridhika, MIMI NASEMA HAKUNA MGONJWA WA NGUVU WA ZA KIUME!!!
tililikaaaa na wewe tuelimishane
Asubuhi njema