Utafiti uliomponza SLAA 2010

Ebwana usikurupuke na kuandika tuu kama unawaandikia watoto wadogo na kuwasomea.....watu wanafikiria.
Acha ujinga wako..,kajipange tena uje upya..
Acha kuweweseka...
 
Reactions: GIB
Duh, great thinkers wa JF wanasikitisha. Wanaacha kujibu kilichoongelewa na badala yake wanavurumisha matusi. Upinzani wa matusi wala hauongezi wanachama Chadema na badala yake unarudisha wanachama CCM. Labda ili tulete mapinduzi ya kweli inatubidi wanachama wa upinzani tuanze kuheshimika kwa kuheshimu tunaowpinga badala ya kuwatukana, na tuanze hapa JF.
 
Heko CDM kwa kuwa na Dr. Slaa, awamu hii magamba hamna lenu, baada ya magamba kushndkana kuvuliwa, tuambien kabisa mtavuana nn tena?
 
Reactions: GIB
this is so funny, loh! Nimecheka kweli. A political joke of the month. Asante kakakuona kwa kuniongezea sekunde za kuishi
 
Reactions: GIB

labda unawarudisha wanachama ccm kwa hayo matusi ya ndugu yenu mkapa
 
Reactions: GIB
Ivi hayo ni mawazo yako au ni baada ya kufanya utafiti usiozingatia kanunu za utafiti?

Nadhani umetumwa kusema uongo ambao kwa sasa hautabadili mawazo ya waliyo wengi. Pole
 

Magamba ndo walivyokudanganya uje kumkatisha tamaa ili 2015 wasikumbane na kikwazo chakuingia magogoni? Pole sana 7bu cdm ni chama kinachokwenda na wakati kwa kutizama mahitaji ya wananchi
 
me nadhani ikitokea tena jimbo likawa wazi,slaa agombee ubunge ili kujipima kama graph yake bado iko juu ktk nafasi ya urais 20015
 
Halafu nyie ndio mnajiita magretithinka?
Kweli kazi ipo mwaka huu...

kwahiyo unataka kusema magreat thinker ni nyie mnaotumika na magamba na kutupwa kama toilet paper?
 
Reactions: GIB

I like it & nice say
 
uzoefu unaonyesha kupungua kwa kura kwa mpinzani pindi anaporudia kugombea! ila kwa kuwa umesema 20015 na sio 2015 may be ila ni miaka mingi sana kama karne ishirini zijazo.

Ingekuwa mambo yanakwenda kiuzoefu basi kusingekuwa na haja yakupiga kura 7bu ungekuwa ukichukuliwa uzoefu wa awali
 
Mwenzio slaa keshakubali kikwete rais wake angalia alipoenda ikulu wewe bado huamini, kweli watz wa ajabu utafikili mnaishi sayari nyengine?

Mbona hilo walishaliongelea siku nyingi ya kwamba kikatiba ni rais ila njia iliyotumika kumweka pale ndo hawaitambui
 

Nyie jipeni moyo tu, sijui ndo mmeshafanya utafiti mwingine? anyway mi nilitoa ushauri tu kutokana na yaliyotokea na ushauri sio lazima ufuatwe! ila nitapost tena baada ya 2015.
 
Hebu acheni kumchuria babu wa watu.
2015 ni mbali na afya yake mwaiona
OTIS



otis naona kwako mabadiliko ni nooo nooo tu! Full kejeli mkuu.. kumbuka wote tutapita but TZ itabaki.. furahia ya leo kwa kuwa hujui ya kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…