Utafiti mpya: Wanawake wengi ni vichaa

Utafiti mpya: Wanawake wengi ni vichaa

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,454
5c8c870da90e7f2f8a8e14934a02cb9f.jpg

Kati ya wanawake 5 basi mmoja ana matatizo ya akili ..5:1

Je hii iko sawa kweli?
 
Ngoja waje wenyewe na wasivyopenda kuambiwa ukweli...
 
Mtu amezalishwaa watoto 6 ameachwaa mwanaume haonekani unafikir ni nn kinachofuata hapo kama co kuchizi
 
Inawezekana ikawa kweli. Ngoja tuone utetezi wao.
 
Hao watafiti hawajui hesabu au mwandishi amekosea! Kwa hali halisi ni kati ya 5 wanne ni vichaa.... Nasema hivyo kwa sababu ni kichaa tu anayeweza kwenda barabarani huku uchi wake ukiwa dhahiri 'live bila chenga' Hiyo ni moja yapo mengi...
Na kwa wanaume, kati ya 5 wawili hadi watatu ni vichaa, Kwa mfano uleule! Hakuna mwanaume mwenye akili timamu tena rijali ataonyesha hadharani vi-tak' vyake au c.hup yake. Labda awe shoga.
 
KWA HAYA, LAZIMA WAWE MACHIZI MAANA KATIKA HALI YA KAWAIDA HUWEZI JIFOJI NAMNA HII
upload_2016-11-13_12-29-18.png
 

angalau naelewa kwa nini ukitongoza 'mdada' anakukataa halafu ukimpa kisogo anakufuata kwa kasi ya ajabu
#Shubaaamit#
 
Unachuki na wanawake mpaka unasahau mama yako ni mwanamke. Kwani hakuna wanaume wanaojichubua au kutengeneza nywele etc
 
Jana mchungaji Anthony Lusekelo alisema watanzania tunaongoza kwa uchawi na ushirikina barani Afrika tumewapita mpaka wanigeria.
-Hasa baada ya mauaji ya albino tulionekana watanzania tunaimani ya kupata utajiri baada kuuwa binadamu wenzetu.
 
Back
Top Bottom