#COVID19 Utafiti: Mafua ya kawaida yanaweza kumkinga mtu dhidi ya maambukizi ya Corona

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Watafiti wa Imperial College of London wamebaini watu wenye T-Cells nyingi wana uwezekano mdogo wa kupata Corona

Wamebaini kuwa mwili unapokuwa umeathiriwa na aina nyingine ya virusi kama kwenye mafua ya kawaida, huzalisha kiasi kikubwa cha T-Cells na kuulinda mwili dhidi ya #COVID19

Hata Hivyo, watafiti hao wamesema namna sahihi ya kujinga na corona ni kupata chanjo kamili na ‘booster’

===
Common cold could prevent people contracting Covid-19 — study finds

According to researchers at the Imperial College of London, people with high levels of T cells are less likely to contract Coronavirus. (GB News)

"We found that high levels of pre-existing T cells, created by the body when infected with other human coronaviruses like the common cold, can protect against Covid-19 infection,” one of the lead authors of the study said in a statement.

However, the authors maintain the best way to be protected from Covid is, “to be fully vaccinated, including getting your booster dose."

RT
 
Back
Top Bottom