Utafiti juu ya ushirikina na imani potofu Tanzania

Wasukuma ndio uongoza hata dini imepata kazi sana kupenya huko maana kila watu watano mmoja ni mganga, mwingine ni mchawi wa tatu ni mshirikina.
Wanashika ushirikina na dini kwa pamoja
 
Ni upumbavu kuendekeza uchawi na ushirikina
Hata iweje siwezi kuamini ujinga huu, nimelelewa kwenye familia isiyoaendekeza haya mambo na ukitushauri unakula makofi

Fanyeni kazi na muwe na malengo ya mda mrefu
Kama unataka kufanya kitu kukubwa hakikisha unajilimbikizia kwa mda wa miaka kadhaa na siku zikitimia Anza kazi

Ila watasema uchawi we piga kazi tu hata kama utanunua malori matatu kwa mkupuo au ukifungua duka kubwa
Maneno yao waachie wao

Mkuu siyo uchawi tu hata mungu ni stori za kufikirika.
Afrika kujikomboa ni kufanya kazi tu.
 
Mkuu bora dini unaamini Mungu
Sasa hawa wanaomwamini binadamu ndio atawapa mali au atampa kinga risasi au panga lisipite mwilini
Au akiiba asionekane sasa haya ndio mimi nayapinga zaidi

Sasa hapa unachanganya mkuu.
Ukiamini uwepo wa mungu lazima uamini uwepo wa shetani.
Mungu na shetani ni character wa kufikirika kama vile unicornz hippogriff,. Alicorn n.k
 
Mikoa inayoongoza hapa Tanzania kwa Ushirikina (ulozi) ni
1.Rukwa (sumbawanga),
2.Kigoma (kasulu, kazuramimba, kakonko, ujiji, benako),
3.Tanga (Handeni-kwamsisi, lushoto, Muheza, kilindi, Tanga mjini),
4.Pwani (Bagamoyo , Rufiji,kisiju, Kibiti,Bungu, Mkuranga, Nyamisati). 5.Kanda ya ziwa (Shinyanga,Mwanza, geita)
6.Kanda ya kati Singida.
7.Njombe(Kwa wakinga na wapangwa).

USHIRIKINA UNARUDISHA MYUMA MAENDELEO NA UDUMAZA AKILI WAKIDHANI UNAWASAIDIA BADALA YA KUFANYA KAZI NA KUJIKWAMUA KUTOKA KWENYE UMASKINIView attachment 2704213
Na ndo mikoa yenye watu maskini na wasio na elimu
 
Ni upumbavu kuendekeza uchawi na ushirikina
Hata iweje siwezi kuamini ujinga huu, nimelelewa kwenye familia isiyoaendekeza haya mambo na ukitushauri unakula makofi

Fanyeni kazi na muwe na malengo ya mda mrefu
Kama unataka kufanya kitu kukubwa hakikisha unajilimbikizia kwa mda wa miaka kadhaa na siku zikitimia Anza kazi

Ila watasema uchawi we piga kazi tu hata kama utanunua malori matatu kwa mkupuo au ukifungua duka kubwa
Maneno yao waachie wao
Wahenga wanasema "Never say Never", ndivyo misingi ya dunia ilivyo, Ukiona unamtegemea Mungu na unafanikiwa Mshukuru Mungu lakini usiwadharau wale ambao wana imani haba, waombee!

Kuna watu wanaotumia nguvu za giza na wanafanikiwa mfano wake ni wasanii wakubwa ambao wamekaa kwenye game kwa mda mrefu, kuna wanasiasa pia, katika wanasiasa 100 ni mmoja tu anayemtegemea Mungu wengine wanatumia nguvu za giza.
 
kuna mikoa hujaiweka ila uchawi ndio kwao huko kanda ya ziwa ndio wanaongoza kwa uchawi kwenye hii nchi. Yaani lushoto unaiweka mbele afu mikoa ya kanda ya ziwa haipo. Kwa hitimisho kanda ya ziwa ni wachawi saana zaidi ya kanda yoyote nchini
Mnooo
 
Mikoa inayoongoza hapa Tanzania kwa Ushirikina (ulozi) ni
1. Rukwa (sumbawanga),
2. Kigoma (kasulu, kazuramimba, kakonko, ujiji, benako),
3. Tanga (Handeni-kwamsisi, lushoto, Muheza, kilindi, Tanga mjini),
4. Pwani (Bagamoyo , Rufiji,kisiju, Kibiti, Bungu, Mkuranga, Nyamisati).
5. Kanda ya ziwa (Shinyanga,Mwanza, geita)
6. Kanda ya kati Singida.
7. Njombe (Kwa wakinga na wapangwa).

USHIRIKINA UNARUDISHA MYUMA MAENDELEO NA UDUMAZA AKILI WAKIDHANI UNAWASAIDIA BADALA YA KUFANYA KAZI NA KUJIKWAMUA KUTOKA KWENYE UMASKINI

View attachment 2704213
Aisee tuna safari ndefu sana. Nashkuru Mungu nimetoka family ambayo hai entertain haya mambo lakini Wazee kanda ya kati huko Acheni tu.
 
Wahenga wanasema "Never say Never", ndivyo misingi ya dunia ilivyo, Ukiona unamtegemea Mungu na unafanikiwa Mshukuru Mungu lakini usiwadharau wale ambao wana imani haba, waombee!

Kuna watu wanaotumia nguvu za giza na wanafanikiwa mfano wake ni wasanii wakubwa ambao wamekaa kwenye game kwa mda mrefu, kuna wanasiasa pia, katika wanasiasa 100 ni mmoja tu anayemtegemea Mungu wengine wanatumia nguvu za giza.
Lakini hawana furaha na utajiri huo
 
Acha kupotosha watu na ufanye kazi mtu akifanikiwa haimaanishi katumia uchawi hii fikra ndo inafanya watu wasitake kuendelea
 
Back
Top Bottom