Wanawake bana!!..jamaa kaja na utafiti wake kuhusu wanaume mnampinga..kisa kasema ukweli!
Kama na wanawake nao huwa wanakuwa na 'lust' ambayo ni inevitable ni issue ya kuprove tu na watu watawaelewa..
Twende mbele turudi nyuma..kuna wakati mapenzi huchuja kabisa..na ni ngumu sana kuieleza hii hali kwa jinsia nyingine..
Tukianza kujadili tatizo lazima tujue chanzo cha tatizo lenyewe pia..
Ndoa nyingi sana na kwenye mahusiano tumeshuhudia sana wanaume wakiongoza kwa kucheat..na hata maambukzi ya HIV tunaambiwa kwa kiasi kikubwa yako kwa wanandoa..Manake ni nini?..hapa kuna kitu tunakifunika tu lakini ndio ukweli wenyewe..Jinsia moja kwenye ndoa ina 'lust' ambayo ni inevitable..na kulazimishana kuamini kwamba mwanamume atadumu na mwanamke mmoja ni kujilisha upepo tu!!..
Men should be allowed to cheat but responsibly..i concur with you bro Asprin
Mwanamke ana mapambo yake kwa mumewe kama mwanamke mchafu muda wote lazima utamkinai, lakini kama mwanamke smart muda wote kila ukimuona walete...lol.
mmmh... Ku-fight muhimu,ni sit back aniletee magonjwa ndani..kwakweli,Nehi!
Pole ndugu kwa ku kinaiwa..
Personal I don't believe this c r a p ...
Ritz kumbe hata wewe unafika anga hizi? Lakini wanawake wa kipemba nawaaminia kwa maandalizi ya mwili na kunako 6*6!
ha haa ha, Mwita Maranya, siku moja moja kule jukwaa limechafuka kila mtu mbabe.
Mkuu umekwama nini kwa kitu cha kipemba.
Kweli Ritz mara moja moja tunakuja huku kuondoa stress. Hapa ni kubanjuka tuuuuuu......!!!
Mkuu wapemba kwa kujiandaa usipime kabisa. Yaani hayo manukatano na maunyunyu wanayotumia hata kama umechoka vipi lazima upige game ya hatari.
#Mkuu, yule mwanamke nayempenda sana mpk nikamtolea mahari ili nimuoe, kila siku namwona uchi na storongo haisimami mpaka istuliwe. Mtaani akikatiza binti mrembo storongo inasimama ghafla ikitaka kutimiziwa haja... Huoni hapo tayari kuna tatizo? Home kuna K ya bure unayoweza kuipata wakati wowote lakini unaiacha unaenda kutafuta ya kuihonga. Wanawake "watakatifu" wa JF hawapendi kuukubali ukweli huu ulio wazi kabisa.
Mwanamke ana mapambo yake kwa mumewe kama mwanamke mchafu muda wote lazima utamkinai, lakini kama mwanamke smart muda wote kila ukimuona walete...lol.
mwanamume humkinai mke au mpenziwe walioishi muda mrefu pamoja wakifanya mapenz!
Licha ya wanawake wengi kuhangaika kuirudisha radha ya matamanio kwa wapenzi wao kwa kubuni na kujiweka katika hali tofautitofauti lakini hufikia hatua hata huo ubunifu mpya mwanaume huukinai!
Hata ujibadilibadili vp itafka hatua mumeo atakukinai tu!kwa sababu hii ni kweli ya asili(truth of nature).
Mwanaume akishafanya mapenz na mwanamke mara nyingi sana humkinai,na matamanio juu yake hupotea!hivyo mwanaume huanza kutamani mwanamke wa nje ambaye hajui radha yake hata kama huyo mpya atamaniaye si mzuri kushinda aliyenaye.
Ni kweli kwamba wanaume hupenda na kumuheshimu mpenzi au mke mmoja tu!lakini hushindwa kuendelea kumtamani mwanake mmoja tu!
"women u will always capture the man love but never his lust" u never fight it u have to accept it and relax enjoy ur life!
Braza kumbe hata nyie wanasiasa kwenye mapenzi mumo!..
nice to meet you here bro..
Mimi sijawahi kukinaiwa na mke wangu isipokuwa tamaa ya kuonja kwingine inakuwepo.
Braza kumbe hata nyie wanasiasa kwenye mapenzi mumo!..
nice to meet you here bro..