MSHINO
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,067
- 709
- Thread starter
- #21
Sasa hutuambii kwa namna gani elimu ya sasa inaisaidia CCM kuwa madarakani, na ni mabadiliko gani ktk elimu yatakayo saidia kutoka tulipo. nijuavyo mimi ukiondoka URAIS/CIVICS masomo mengine yote ni standard ya ki dunia, principals na formula ni zile zile. Labda mfumo wa ufundishaji vyuoni. course work 40% huku 60% ikiwa ni final exams. wenzetu km KOREA, USA na nk, course work ni 60%-80% final exam 20%-30%.Unataka wabadili mfumo wa elimu Ili ccm Ife? Kwani wao wajinga?