Utafikiri wanaangalia kitu muhimu sana

Jamaa wanaonekana ni madomo zege.
 
Sasa unafikiri kuna nini kingine muhimu kuliko hilo hahaaas
 
Wameamua tu kutusumbua vichwa vyetu ..... hao ma manzi wapo sita na washkaji sita so ni mademu zao ila tu wanatuzingua na ekokite yao hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…