Utafikiri lina Uchungu na nchi

majutobeach

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2016
Posts
212
Reaction score
164
Huyu Mr chato anavyoongea utafikiri ana uchungu na nchi.
Sasa hivi maongozi yake makubwa kuwasifia wafanyakazi anajua kuwa jua liko manghalibi na wengi wa wafanyakazi hawajamkubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza jaziba Uongozi nikuonesha muelekeo mpaka hapa Rais anaitaji pongezi tunaishi maisha halisi tuli ishi kwa kuigiza sana
 
Haki ya nani, ina maana hakuna mtu anayeipenda nchi yake kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…