Utafanyaje ukichepukwa na mchepuko wako?

Utafanyaje ukichepukwa na mchepuko wako?

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Inafahamika kuwa michepuko sio dili baki njia kuu lakini ukigundua mchepuko nao unakuchepuka utafanyaje?
 
1399996283885.jpg
 
wewe ukiona mchepuka, ujue ni wengi wanaopenda michepuko, so jua hauko mwnyw! KINGA muhimu kwa michepuko yooote
 
hahaaaa
hapo hamna kesi lolz!

halafu kuna watu wanakaaga kwenye mchepuko wanajisahau na kudhani wako njia kuu. Yale yale ya kupewa lift na kuanza kupiga honi.
 
hahaaaa
hapo hamna kesi lolz!

halafu kuna watu wanakaaga kwenye mchepuko wanajisahau na kudhani wako njia kuu. Yale yale ya kupewa lift na kuanza kupiga honi.
tehe tehe tehe! Una maneno!
 
Mie ntaona poa kwasababu kila muosha...huoshwa..
 
na wewe uchepuke mchepuo nikimaanisha chepuka skwea
 
hahaaaa
hapo hamna kesi lolz!

halafu kuna watu wanakaaga kwenye mchepuko wanajisahau na kudhani wako njia kuu. Yale yale ya kupewa lift na kuanza kupiga honi.

Michepuko inajituma sana "kazini"....ni ngumu kuanza kukumbuka hizo "njia kuu"

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Tunajazana negative assumptions zinaishia kutuumiza...jaribu the power of positive thinking
 
Back
Top Bottom