Utafanya nin ukiwa na mkeo chumban akitaja----

Utafanya nin ukiwa na mkeo chumban akitaja----

Martin Maqway

Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
19
Reaction score
2
Jaman jf tena naomben mnisaidie kwahili
ukiwa na demu wako chumban ukiwa unafanya massage na yale mtamu yaliozidi hamu akakupa peremende mara ukasikia akitaja jina la rafki yako mfano(Ali ali, ali uww uww nakupenda sana,cntakuacha ali ) imagane ww ni shaban utamfanyaje?
 
Hiyo typing error tu aah sorry speaking error. Unamalizia kazi halafu hatua za kuchukua zitafuata
 
Ataishiwaje pozi

Huyo atakuwa ni malaya na yuko kwenye umalaya na ww ni ktk hao hao mujiandae na matibabu na mwnyezimungu anawasubiri sijaona kitabu hata cha dini 1 kinacho halalisha zinaa pengine huyo ali ni baba yako umalaya wenu baba na mtt munajilimbikizia dhambi kwa njia moja.
 
aiseee
 
Oa kijana acha zinaa! Madhara ya zinaa ndo Kama hayo sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom