Utachonga viazi if you don't pay that bill

Hahahaa, hiyo mbona ingekuwepo kibongobongo ingekua poa sana.Mtu anapiga menu la maana halafu bill kuchonga viazi...lol
 
Hahahaha yani nimecheka balaaaa afadhali ya huko kuchonga viazi bongo hii kidume kingeshikishwa ukuta
 
Ndio wakome safi sana.

Ubishoo halafu huna kitu ndio matokeo yake, bora walivyochongeshwa viazi.

Na bado
 
hata hivi naona kuchonga viazi ni kazi ndogo imagine kama amekula msosi zaidi ya sh 15,000
 
ila huyo sista kala msosi balaa halafu ungetegemea nini
 
Demu huyo nae amezidi ulafi utafikiri mara yake ya kwanza kuona chakula!

Nafikiri alikuwa anakomoa
 
hata hivi naona kuchonga viazi ni kazi ndogo imagine kama amekula msosi zaidi ya sh 15,000
Ndio maana nimekuambia ingekua kibongobongo ingekua poa sana.
 
Hahahaha yani nimecheka balaaaa afadhali ya huko kuchonga viazi bongo hii kidume kingeshikishwa ukuta
Mwenzangu umenikumbusha juzikati hapo kijana mmoja kaiba suruali kwenye duka moja la nguo mwenyewe alivyomkamata wakamshikisha ukuta .Aisee niliumia sana.Nilitamani hata nikawauwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…