Utachangua yupi...

Utachangua yupi...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,573
Reaction score
3,254
WAKUU wa itifaki laddies and gentlemen....sana sana laddies.katika hawa watatu utapenda kutoka na yupi katika scenario hizi 1.hb,smart yani good looking,kipato kizuri,kila ukipita nae unachukua misifa kwa mashostito wezako,tatizo lake kicheche yani play boy dakika mbili ukimpa kaaribu.
2.old man au kijana wa kawaida tu,ana pesa za kutimiza matatizo yako hazikosekani,mtulivu na very caring guy,tatizo kwenye game za usiku hajiwezi moja tu mpaka kesho tena usiku yani hakupandishi wala hakushushi kilimanjaroo

3.jamaa wa tatu sura chachu,ngumu,mbaya,hajui kuvya yani anavya kawaida sana,hana mvuto hata kidogo,hata ukitembea nae rafiki zako wanaisi mayb bodyguard wako,hana pesa ila he now how to love,caring na nimuaminifu kwako kwa kila jambo na msikivu.
je wadadaa ungemchangua yupi kati ya hao.
 
hapo moja kwa moja namba tatu
 
WAKUU wa itifaki laddies
and gentlemen....sana sana laddies.katika hawa watatu utapenda kutoka na
yupi katika scenario hizi 1.hb,smart yani good looking,kipato
kizuri,kila ukipita nae unachukua misifa kwa mashostito wezako,tatizo
lake kicheche yani play boy dakika mbili ukimpa kaaribu.
2.old man au kijana wa kawaida tu,ana pesa za kutimiza matatizo
yako hazikosekani,mtulivu na very caring guy,tatizo kwenye game za usiku
hajiwezi moja tu mpaka kesho tena usiku yani hakupandishi wala
hakushushi kilimanjaroo

3.jamaa wa tatu sura chachu,ngumu,mbaya,hajui kuvya yani anavya
kawaida sana,hana mvuto hata kidogo,hata ukitembea nae rafiki zako
wanaisi mayb bodyguard wako,hana pesa ila he now how to love,caring na
nimuaminifu kwako kwa kila jambo na msikivu.
je wadadaa ungemchangua yupi kati ya hao.

wa pili kwakwel,io isue ya bed dere wil b a solution i believ
 
Namba 3....mwanamme shughuli ati uzuri wake utanisaidia nn mie
 
Ivi kwani unatakiwaga upige mabao mangapi usiku mmoja...wabongo bana...!!!!
 
mh....ntaangalia,bt hard to put my self in tht position..cz kila chaguo lina weaknec yake
 
Back
Top Bottom