Well said Mkuu! Naweza kusema waislamu tuliowengi Tz, hatujui dini (waislamu jina) ndio sababu washirikina kama Shehe Yahaya hawapati upinzani!
...
Sijui nani tumchune ngozi!
Wewe huogopi kugeuzwa paka eee? we haya we!
Damu ya Yesu inatengua halafu Mungu ndiye mwenye jibu, mbona siwaelewi kwani si mnasema Yesu ndiye mungu wenu? Sasa kama yesu ndiye mungu wenu kwanini kuwe na watendakazi wawili yaani mungu na yesu!Hapo kwenye mwaka 2014 sio mzuri kwa viongozi wa dini tunatengua unabii wake kwa damu ya YESU. Mungu ndiye mwenye jibu la mwanadamu. Wakati mwanadamu anakuwazia mabaya Mungu anakuwazia mema. Kama unaamini sema inshaalah au AMINA.
Damu ya Yesu inatengua halafu Mungu ndiye mwenye jibu, mbona siwaelewi kwani si mnasema Yesu ndiye mungu wenu? Sasa kama yesu ndiye mungu wenu kwanini kuwe na watendakazi wawili yaani mungu na yesu!
Mrithi wa aliyekuwa mtabiri na mganga wa kienyeji marehemu Shekhe Yahaya Hussein, Hassan Yahaya ametabiri mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka 2014,kubwa amesema ametabiri kiongozi mkubwa wa chama cha siasa atang'olewa katika nafasi yake.Pia kasema hatua hiyo itamsababishia anguko kubwa la kisiasa kiongozi huyo.Pia kasema rais Kikwete kwa mwaka huu atafanya jambo kubwa ambalo litamjengea heshima kubwa kitaifa na kimataifa.Kaongezd mwaka 2014 sio mzuri kwa viongozi wa kidini.my take:mgogoro wa CDM na ZITTO ndo umepelekea utabiri huu au kuna kiongozi mwingine mkubwa wa chama cha siasa?
Zitto sio kiongozi mkubwa wa chama
Huyu si mtabiri kabisa anasoma alama za nyakati halafu anajifanya katabiri. Nani hajui kwamba Kikwete anapaswa kuteua mawaziri kujaza nafasi zilizoachwa wazi na hao waliolazimika kujiuzulu na mmoja kufariki dunia? Zitto inafahamika kabisa kwamba anguko liko mlangoni kwake anasubiriwa kufungua mlango limuangukie. Atabiri nani mgombea urais kupitia CCM?
hivi ni kwanini yeye ni ALHAJI then anakuwa mshirikina!?!?
Ramli za kujipendekeza upate kitu,,,,,, mi huwa camini hizo ramli
İts not scientific to subject into proves
mungu anasena" msiwaendee makuhani wala msiyasadiki maneno yao". Nae anayajua haya ila hayaoni wala hayasikii anaposoma hata akisomewa.
Mkuu najiuliza sana, kwani huyu bwana na mwanae waitwe mashekhe????
...
Sababu ni kuwa Quran imeweka wazi, kupiga ramli ni haramu!
Sikumbuki ni aya gani! But kuna aya inasema:
'hakuna aijuae kesho'
sasa kama hawa mabwana wanapingana na Quran huo ushekhe wameupatia wapi?
Mbona marehemu alikuwa kiongozi wa msikiti kabisa? Haya mambo ni sehemu tu ya mafunzo.
Huyu si mtabiri kabisa anasoma alama za nyakati halafu anajifanya katabiri. Nani hajui kwamba Kikwete anapaswa kuteua mawaziri kujaza nafasi zilizoachwa wazi na hao waliolazimika kujiuzulu na mmoja kufariki dunia? Zitto inafahamika kabisa kwamba anguko liko mlangoni kwake anasubiriwa kufungua mlango limuangukie. Atabiri nani mgombea urais kupitia CCM?
Nimekosea wapi? Ama wataka kupinga kuwa marehemu shehe Yahya hakuwa na msikiti? Unashangaza sana ewe bingwa wa matusi.