Labani og kawaida yake kukimbia uzi.😅😂Kama kawaida yake Laban og hawezi kutokea kwenye uzi wake!! Ila kwa laban og sare ya 1-1 atasema hizo ndio 6-0.
Vipi utabiri umeendaje?Nadhani Leo hakuna doubt kuwa Al ahly wako home ground so ule uchawi wa makolo uliozuia magoli 5 ya Al ahly haupo kama mnavyojua uchawi haupandi ndege za mzungu
Hivyo basi Kwa uchambuzi niliofanya naona kabisa kolo anaenda kula mvua ya magoli 6+. Nini kifanyike??
Kwakweli hapa hamna njia yeyote ya kuescape kikombe hiki.....hata mkipaki basi ....haita badilika kikubwa tujiandae kisaikolojia
Nimesoma sehemu kuwa wanarudi kucheza na Yanga, ni kweli?Al ahly wabovu