Utabiri wa hali ya hewa mashuleni.

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,596
Reaction score
29,525
Kutakuwa na adhabu nyingi mashuleni hasa za fimbo hapa na pale,kuanzia asubuhi mpaka saa sita mchana. Pia kutakuwa na ongezeko la walimu watakao sinzia hasa nyakati za mchana kutokana na stress za kutoongezwa mishahara. Inakadiliwa utoro utaongezeka kwa walimu huku ukiambatana na manung'uniko wakiwa wanatembea barabarani . Wananchi hasa wanaoishi karibu na barabara wanashauliwa kutokuchukia kama hawata salimiwa na walimu...tutaendelea baadae utabiri kwa kadri utakavyokuwa tunapata taarifa kwa wahusika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]‍♂
 
walimu ndo wamefungua viduka na kuendesha bodaboda. kwa siku hakosi buku 7 kama ya Lumumba fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…