TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,991
- 22,067
Umeelewa sana aisee
😹😹😹😹💔😹😹😹😹💔
Wamejipanga sana, ndio maana wanatishaUpepo waliokuja nao CHADEMA si WA nguvu za soda, CDM imeweza kurudisha heshima yake.
Wamejipanga sana, ndio maana wanatisha
Kumbe wanataka kumalizia kile kiporo cha 17 September 2017, itakula kwao.Utabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri.
Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye kubashiri, ubashiri sio lazima utumie kwasababu uko mwilini, na ulimwengu wa mwili unabadilikabadilika kila wakati, ilhali ulimwengu wa roho ni mkamilifu, hauna mabadiliko.
Hiki ninachoenda kukiongelea ni utabiri na sio ubashiri. Jicho la ndani limeona Watu wameshanawa mikono. BWANA YULE, akikumbwa na lolote, The Green wameshajitoa, hawataki kulaumiwa.
No reform no election itapotea katikati ya mwaka huu (June/July).
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Hakuna cha utabiri wala baba yake wapangao watakufa mapema na kumuacha mwana wa Mungu akidundaUtabiri ni kuona yale yajayo kiunaga ubaga. Utabiri lazima utimie. Kuna tofauti kubwa sana kati ya kutabiri na kubashiri.
Kutabiri ni jambo la rohoni wakati kubashiri ni jambo la mwilini. Kwenye kubashiri, ubashiri sio lazima utumie kwasababu uko mwilini, na ulimwengu wa mwili unabadilikabadilika kila wakati, ilhali ulimwengu wa roho ni mkamilifu, hauna mabadiliko.
Hiki ninachoenda kukiongelea ni utabiri na sio ubashiri. Jicho la ndani limeona Watu wameshanawa mikono. BWANA YULE, akikumbwa na lolote, The Green wameshajitoa, hawataki kulaumiwa.
No reform no election itapotea katikati ya mwaka huu (June/July).
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Ndio KAZI yenyewe, kisha tunasonga mbele na uchaguziKumbe wanataka kumalizia kile kiporo cha 17 September 2017, itakula kwao.
Hii ni ndoto,yapangwayo chini ya pango ,na usiku wa manane hujulikana kabla ya jua kuchwea Mungu hajaliacha Taifa hili kamwe , watashangaa asema BwanaNdio KAZI yenyewe, kisha tunasonga mbele na uchaguzi
Hii ni ndoto,yapangwayo chini ya pango ,na usiku wa manane hujulikana kabla ya jua kuchwea Mungu hajaliacha Taifa hili kamwe , watashangaa asema Bwana