Utabiri: Muhongo atajiuzulu tena

Mkuu nilitegemea utaje hata mbadala wake Na mabaya alioyafanya...Mi napenda kusikia mabaya Na sio Mazuri Kwani mabaya yana sauti Kubwa...
Usisahau kunipatia Na "kitalu cha Gas mkuu"

Mabaya yake hapa wala sio muhimu
we jua tu naibu wake ni nani..
ukiwa na naibu ambae ni mbunge kutoka Chato na Rais anatoka Chato
ujue tu hapo umeegeshwa tu kwa muda
 
Tangu ile mbinu yenu ya kumuandama mtu ili mwisho wa siku mkae mezani, msidhani bado ina nafasi tena.....mmeshapata za Edo hakuna nyingine wala rushwa wakubwa nyie.......HAPA KAZI TU.

Tunajua jinsi ambavyo Dr Many anajitoa kwenu...lakini hamna njia nyingine ya kulipa fadhila zaidi ya kumuandama Prof?
 
wanatumika mkuu wanafikili utawala uliopita


Watu wanakosa shukurani, Muhongo yupo very smart ila wanashindwa kumwelewa, mfano mdogo ni gharama za umeme kushuka kila anapokuwa Waziri, je hao wengine walioshindwa ndiyo wenye uzalendo au ndo hao wakuwatafuta watwambie Tanesco imeingiaje kwenye mitego ya kifisadi,
 
Tunazungumzia suala la Escrow na hukumu ya kesi ambayo hukumu yake imetoka tunatakiwa tulipe hizo bilioni zaidi ya 300! Kuchotwa kwa fedha za Escrow Muhongo anahusika au hakuhusika? Unafahamu majibu aliyokuwa akiyatoa bungeni na nje ya bunge kuhusu suala hili? Hivi ni lazima Muhongo awe waziri wa nishati ili tuweze kufanikiwa katika eneo la nishati? Wengine tunafikiri ilikuwa makosa makubwa kumrudisha katika nafasi hiyo ya uwaziri kwani ilikuwa dharau kubwa kwa Bunge na wananchi kwa ujumla. Hiki kilichotokea ni kuonyesha tu kwamba "kiburi na dharau" havilipi, kibao kimegeuzwa!
 
Hilo sandarusi alianza nalo na litammaliza. TUMEPIGWA FINE KUBWA NA UNAFAHAMU... huna haja ya kutetea wakati hali halisi inaijuwa... HALITAPITA BURE HILI
 
Sasa huyo umeme atauweka kwa fedha gani kama hela zenyewe znaishia kwenye kashfa za Escrow? Jinga kabisa wewe
 
Mungu mwema. Kila mtu atachukua furushi lake mwenyewe
 
Mtabakiaga kusema "eti ni vichwa vichache "wamefanya nini jipya mpaka sasa..we ngoja sahv ununu unit 1 ya umeme 700 ndiyo utatia akili

Ova
 
Muhongo hausiki na hilo zigo lenu mbona hamtumii akili.. Ngosha mwenyewe hilo zigo kalishindwa Muhongo ataliwezea wapi? Muhongo ni moja ya waziri ambaye yuko vizuri hatari kwanza katupunguzia gharama za umeme yeye pamoja na Lukuvi ni mawaziri bora awamu hii
 
Kuna watu humu ndani wanasema CHADEMA walimsafisha Lowassa, wapi pameandikwa humu ndani Lowassa kufutiwa tuhuma zake za ufisadi na Chadema!

Kama Lowassa ni fisadi mahakama ya mafisadi si ipo mkamateni kajitetee huko siasa nyepesi hazina afya kwa sasa.

Pia tuache chuki kwa Prof.Muhongo. ukitaka kuziona nyeti za kuku subiri apulizwe na upepo. Watuhumiwa wa escrow wote waliotajwa kwenye report wako wazi, lakini sikuliona jina la Prof.Muhongo.
 
Rushwa ya nchi hii ni tatizo la kizazi.Tuwafundishe watoto ubaya wa rushwa, lakini kwa kizazi hiki haiwezekani tena kwa vile jamii imeshairasimisha. Mla rushwa anatukuzwa na jamii, mtaipigaje vita?
 
Sawa Muhongo ana akili sana.lakini amezidiwa akili na Kalasinga mwendawazimu mwenzetu tulio wengi .unasemajee mpaka hapo !!!??? Profesa Maduhu2
 
Kumbe kushuka na kupanda kwa gharama za umeme ni utashi wa waziri........ walau umenifungua macho
 
Mumwache huyu mzee, akiacha majivuni ni mtendaji mzuri, ila akishaweka dharau tu uongozi wake unakuwaga wa hovyo sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…