wabongo wagumu mno kuelewa,mlishaambiwa escrow hazikuwa pesa za umma,Watu wengine bhana. Eti muhongo alikuwa waziri, fedha ikachotwa kutoka wizarani kwake kwa mabilioni, hadi akajiuzulu halafu leo anajifanya hajui kilichotokea na ni msafi. Only in dar.
Were unaonekana mkongwe na huwezi kutekwa na hadaa imejuwaje hii imekuteka?
Hivi kwa akili yako kiongozi wa upinzani anawezaje kushirikishwa wizi katika setikali na jina lake likafichwa huku wengine walio na nyazifa wanatajwa?
Msiwe mnachotwa na uongo wa kutunga kwa makusudi
Muhongo yupo pale kwa muda tu
naibu wake ata take over...
Mh, wanaomfagilia Kubenea ni vichaa kama yeye. Kubenea hana sifa ya aina yoyote ya Ubinadamu kwani hatumii kichwa chake (kufikiri, kamua na kutenda) sifa na silka ya binadamu ambayo wanyama wengine wamekoswa.
TAFAKARI CHUKUA HATUA
Gas ni gharama sana kuliko umeme wa kununua kutoka Ethiopia, that's the fact.
UTABIRI:- PRO.MUHONGO KUIVUSHA TANZANIA KUWA NA UMEME WA UHAKIKA NA SURPLUS YA KUUZA NJE. Tawireeeeeee. KUBENEA NI MWEHU
Makonda atampa kibano
Yaani comment yako inafanana na jina lake. Mwacheni prof wa watu ni mtendaji
Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!
Yupo pale kulinda maslai ya wenye nacho!!!!
Mlizoea kumsumbua ana makinda,safari hii mtspigwa nje ya bunge wote,serikali ya magufuli ni kazi tu,majungu no
Job Ndugai anahasira sana na Walioshiriki kwenye Escrow maana alivyokuwa anasimamia bunge ili wa liochukua fedha kwa sandarusi wajulikane. Bi kiroboto akamtuma aende ughaibuni kurudi sakata la escrow limeisha. Safari hii atalisimamia na bila shaka yeyote wote waliochukua fedha watajulikana na kuadabishwa.
Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!
Kubenea anaenda kumwangusha Muhongo,ni kuhusu hela za masandarusi