TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Job Ndugai anahasira sana na Walioshiriki kwenye Escrow maana alivyokuwa anasimamia bunge ili wa liochukua fedha kwa sandarusi wajulikane. Bi kiroboto akamtuma aende ughaibuni kurudi sakata la escrow limeisha. Safari hii atalisimamia na bila shaka yeyote wote waliochukua fedha watajulikana na kuadabishwa.
Subiri bunge lianze, kurudi kwa Muhongo wizarani kutarejesha tena Escrow bungeni na safari hii Muhongo ataumia tena.
Mnamuacha lowassa mpaka urais mlitaka kumpa.upinzni huu ni bomu kuliko wote waliowahi kuwa wapinzani
Muhongo yupo pale kwa muda tu
naibu wake ata take over...
Muhongo is there to stay! Huwezi kumwacha mtu makini kama huyu kwa visa vya kibishara. Ebu tuwe wakweli, kwenye hili Baraza lililotangazwa nani anampiku Muhongo kwa uchapaji kazi? Hakuna.
mwaka wa kumi serikali haijamkamata.hakuna ujinga kama huu
Prof. Muhongo will stay. Tatizo Tanzania tunapenda mediocrity. Muhongo was and is still among the best ministers.
He might have said the escrow money did not belong to the government. He is not a saint.
Sasa amewakaribisha wazawa wenye pesa kawekeza umeme wa gesi. Kinyerezi II gharama yake ni US $ 185 million. Karibu Mengi uwekeze huko!
Wakitajwa hao wa sandarusi unadhani viongozi wa Upinzani nao watasalimika?
Mlizoea kutafuna futari ikulu sasa itabidi mrudi kwenye vibaraza vyenu vya kariakoo nyambafMlizoea kumsumbua ana makinda,safari hii mtspigwa nje ya bunge wote,serikali ya magufuli ni kazi tu,majungu no
Wakitajwa hao wa sandarusi unadhani viongozi wa Upinzani nao watasalimika?
Subiri bunge lianze, kurudi kwa Muhongo wizarani kutarejesha tena Escrow bungeni na safari hii Muhongo ataumia tena.
Kweli watu wengi mna vichwa vya wenda wazimu, Muhongo ni kati ya vichwa vichache TZ vinavyoumiza wasio jali maslahi ya Taifa.Kubenea ataanzia wapi kama alithubutu kumwandama Mamnvi kwa ufisadi kwa muda wa miaka 7 Leo huyo huyo anamsafisha.Ajenda ya ufisadi upinzani hawiwezi tena!!