Kama na wewe uliwahi kufikiria hivyo basi madhala ya KUTOKUNYWA CHAI NI MENGI..hata mimi nshawahi kufikiria hivyo
Sina hakika juu ya "thinking capacity over perception". Thread yangu nimejaribu kuangalia "syndicate dots" kuanzia tukio la kwanza na uhusiano wa wasanii walio wabunge leo hii,nkaona kuna kina dalili za kijana huyu nae kutaka kuwania ubunge.Kwa nini isiwe wewe mleta mada? hii ni wazi kuna baadhi ya watu wanawaza kuongozwa kuliko kujiongoza na ndio maana kila kukicha kutabiria wenzao mazuri badala ya kujitabiria yeye mwenyewe na kuongeza bidii katika kazi zake za kila siku ili kufanikiwa katika maisha.
Ndugu acha Diamond aendelee na hicho alichokizoea kwa mwanamuziki kujiingiza katika siasa na hasa kugombea Ubunge kupitia CCM ni kujipotezea washabiki ikiwemo na kushusha thamani ya muziki wako.Ikumbukwe kitendo cha Dar kumilikiwa na wapinzani ni jambo linalowauma sana wana lumumba kwahyo naona wanahitaji mtu mwenye influence "kama diamond" kwa maana watz wengi tunapigia kura jina na sio sera..
Umesewa sawa kabisa tena anafaa tu sana atatetea wasanii wenzake na wahitaji maana ana experience.Habari wanajamvi?
Tofauti kati mwanadamu na viumbe wengine ni kuwa na ubongo unaoweza kupambanua mambo.
Nimpongeze sana msanii wa kizazi kipya anaejulikana kama Diamond Platnums kwa kuwa balozi mzuri katika kuitangaza nchi kupitia kipaji chake cha muziki.
Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi kuhusu huyu msanii na ama hakika anahitaji pongezi maana anajituma na pia mstahimilivu sana.
Nije kwa mada,kwakuwa siasa za Tanzania haziangalii elimu bali nimeakiasi gani mtu anakubalika na jamii,mie naona 2020 Diamond akigombania jimbo la ama Kawe au Kinondoni tena kwa tiketi ya CCM ili kurudisha jimbo mikononi mwa CCM baada ya kuchukuliwa na wapinzani.
Syndicate inaonyesha msanii huyu amekuwa akitengeneza ukaribu saana na jamii yake (si jambo baya hata kidogo) lakini wasiwasi wangu ni hii hali ya kucheza na media.
Anasomesha watoto na juzi katoa madawati 600 huu ni upendo ndio lakini naangalia katika jicho la utabiri naona kampeni zakutaka wana DSM kumkubali ili imuwie rahisi 2020 ubunge.
Nieleweke sijamsema kwa ubaya maana simuwezi kwa hela,kuimba,demu mzuri,mali,n.k ila nimeongea ninachoona kinakuja tokea.
TUOMBE UHAI 2020 JIBU LITAONEKANA.
Habari wanajamvi?