Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 236
Kwa hali ilivyo mpaka sasa natabiri CCM itashinda kwa kishindo Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa 80%, ikifuatiwa na CHADEMA 12% na vyama vingine vitagawana 8%. Amini usiamini huu ndo utabiri halisi utakaotimia kuanzia tarehe 14,Desemba 2014. Mnaopinga tusubiri siku ifike!
UPDATES:
Kwa mujibu wa tathmini ya Katibu mwenezi Bw.Nape Nauye ni kwamba mpaka sasa CCM ina 84% ya ushindi kwa nchi nzima. Kwa wale wanaojua vizuri hisabati utabiri wangu uko sasa kwa 100%.Chukua hiyo 84% fanya approx utaona hesabu hiyo inakuwa 80%.Namshukuru Mungu kwa kuniongoza vema