Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Amekubali. Mkuu upo nyuma.Kwan babu Wenger amekubali kusepa ?
No.... Hawezi huyoDavid Moyes
Anafaa piaMassimilliano wa Juve
Huyo hapana aisee.... Hatujazoea kupaki basiMorinho
Hatumtaki hata bure, bora tusiwe na kocha kabisa.Mchukueni Mourinho Man U hatuna kazi naye