Utabiri: Diamond Platinumz atachukua Grammy's Album Bora mwaka 2021/2022

Mbona ile album ya A boy from Tandale haikuchukua Tuzo Ya Grammy?

Davido album Yake kashikirisha Hadi wakina offset, Quavo, Chriss Brown Ila Grammy aliisikilizia kwenye Bomba.

Wakati Burna Boy hajashirikisha hao wasanii ila kabeba Grammy.

Endelea kujidanganya tu
Huyu Burna boy kama uchawi basi yuko vizuri sana. Nyimbo zake nyingi me huwa naziona za kawaida sana plus album yenyewe aliyotoa. Davido ana ngoma kali nyingi kweli ila hana promo kubwa kama Burna boy sijui hata kwanini
 
Mkuu umeskiliza mapini kama

23?

Time flies ft Sout Sol?

Twice as tall?

Album ni pamoja na kuwa na Sound unique pamoja na theme.
 
Habarini Wana Jf:
Kusema ukweli Diamond platinumz Ni genius wa Muziki wa kizazi kipya na kwa Maandalizi haya anaenda kuishangaza dunia kwa ALBUM ya Karne tangu Tanzania ipate Uhuru.

Kuna baadhi ya vionjo nimeviona na kuvisikiliza kiukweli Hana mpinzani labda kwa mbali Rayvanny ndo anaweza kumkalibia.

Album iko classic na imekusanya baadhi ya A-List ya wasanii wa afrika pamoja na marekani Kama Tiger,Drake,Chris Brown,Card B,DAVIDO,Burnaboy na WIZKID.

na hapa ndo atajua msanii wa pili currently kushinda Grammy huku Sony music wakimla shavu la kupromote mikito hiyo mizito
Tatizo wasanii wa Tanzania wanakurupuka saana Mungu kawabariki kukubalika lakini kazi zao ni za kulipua saana

Unakuta mtu karekodi wiki hiyo hiyo kaachia ngoma ipo hewani

Kwanza maadalizi ni hafifu ,graphics sijui hawaangalii za wenzao duniani, mara kadhaa unakutana na wimbo unao hit lakini ukianza kuchunguza picha unakuta hata yale makorokocho yaliyobeba vifaa vya location vinaonekana

Nyimbo nyingi hazitengenezewi plan kabla ya kurekodiwa

Nyimbo za bongo zinahit sii kwa sababu ya wasanii wanajua kuimba au kutengeneza picha nzuri hapana ni kwa ajili ya midundo inayotengenezwa na ma producer pamoja na uwezo wao wa kucheza na sauti za computer (outo tune) ndivyo vinawapa umaarufu
 
Producer wa iyo album ya african giant ni PDidy. Don't forget. Uyu mshkaji wa tandale nani producer?
 
Mwisho siku number na muda
utaongea,mengine mahaba.

USHAURI
Najua mwaka huu Kiba anaachia album na yeye mwanzoni mwa mwaka huu akaenda Nigeria kukamilisha collabo zake za hiyo album kwa wiki 2.

Diamond kaenda South na S2Kizzy kapanga nyumba nzima kwa miezi miwili,yy na baadhi ya watu wake kwa ajili ya album yake.

Konde naye juzi kaenda Nigeria kwa ajili ya collabo zake.

Ila hao wote hamna hata mmoja ambaye ana mawazo ya kuenda kwa maproducer ambao wana knowledge ya Sound Engineering ili wapate kilicho bora upande wa production.Unaweza ukatoa collabo kali ila sound hovyo
.
Kama kitu hujui omba uelekezwe Diamond hajaenda SA kurekodi album, ameenda kumalizia album kikubwa ikiwa ni mastering ya level ya kimataifa. Ameondoka bongo nyimbo nyingi zikiwa tayari zingine zina video pia tayari.

SA kaenda kumalizia production na baadhi ya mambo ya mauzo ya album.
 
Mkuu umeskiliza mapini kama

23?

Time flies ft Sout Sol?

Twice as tall?

Album ni pamoja na kuwa na Sound unique pamoja na theme.
23 na twice as tall utafikiri nyimbo za misiba. Time flies ni nzuri lakini sio kiwango cha kunisimamisha mambo mengine. Hii album imekaa kisiasa zaidi kuliko nyimbo zenyewe kuwa kali( maoni yangu) plus promo ya sound ya kiafrika.
 
Diamond kaenda South na S2Kizzy kapanga nyumba nzima kwa miezi miwili,yy na baadhi ya watu wake kwa ajili ya album
Mkuu kote upo sawa, ila apo ulipo sema diamond kapanga nyumba nzima haupo sahihi,jamaa ana mjengo wake kule
 
Huyu Burna boy kama uchawi basi yuko vizuri sana. Nyimbo zake nyingi me huwa naziona za kawaida sana plus album yenyewe aliyotoa. Davido ana ngoma kali nyingi kweli ila hana promo kubwa kama Burna boy sijui hata kwanini
Hiyo album moja ya producers ni Justine Timberlake unategemea iwe ya kiboya.

Huku beats zinachongwa na maproproducers uchwara.

Nenda kasikilize Nyimbo Kama;

Comma
23
Naught By nature
Tall As Twice Ft Yaoussou Ndou

Halafu uje kulinganisha na hizi album uchwara za bongo ? Mkuu hauko serious!
 
23 na twice as tall utafikiri nyimbo za misiba. Time flies ni nzuri lakini sio kiwango cha kunisimamisha mambo mengine. Hii album imekaa kisiasa zaidi kuliko nyimbo zenyewe kuwa kali( maoni yangu) plus promo ya sound ya kiafrika.
Kasikilize singeli kijana ngoma za kijanja huziwezi
 
Back
Top Bottom