Mshamba kaingia mjini basi fujo tupu. Tunajua mu wageni wa group stage ila basi fanyeni fujo za kijanja mkikumbuka nyie sio tu vibonde wa kundi bali ni vibonde wa makundi yote

Umekazana hujawahi kufeli hapo hapo unasema sio lazima iwe hivyo...
Hata sikushangai ukinambia niweke yangu na mimi nita wa Exclude Utopolo first round tuu hawapo...

Mama samia akianza kuweka zile pesa zake ataliwa sana pesa zake watu watakuwa wanapiga goli nyingi nyingi kwa mkapa hatoki mtu na saiv kumetengenezwa kama ulaya vile sasa ivi mashabiki tunatakiwa tuandae vitochi vyetu tu vile vya kijani🤣🤣