Mkuu utanipa feedbackAisee inawezekana huu utalaalamu wako ukaniokoa kwenye kubet, hebu nifundishe unavyocalculate.
Kweli vile.tatizo mbongo akijua kitu.hataki kufundisha wenzie hatuna umoja.
Unauliza ama una uhakika?Sioni uhusiano uliopo kati ya matokeo ya mpira na hizo namba

DuhMkuu nimekuheshimu sana Mimi ni Juve tanfu 1992, tumetinga nusu fainali
una moyo sana!! Jokes
Leo ni tarehe 19/4
Ba= 2+1+19=22
Ju=10+21+19=50
Wote wana namba shufwa , hawalingani na tarehe ,wanalingana na mwezi
Hivo hii mechi naipa droo
NB:ni mtizamo wangu tu