CCM ya Sasa unategemea wamachinga na bodaboda ambao wamekuwa na wanaendelea kuwa "brain washed" na kuaminishwa kuwa kile wanachofanya ndiyo "size" yao na haki yao! Unategemea nini hapo?Mzee CCM ya sasahivi ni moto sana watoto wa mjini ni wengi kishinda CCM ya miaka hiyo....
Hii kitu imeniumiza sana lakini natambua wote tuna majibu yanayofanana ukitoa wale wengine
kampuni gani hio kenya?? maana total mtungi wa gesi kg 13 kurefill kenya ni Ksh 3,330 sawa na TZS. 60,000Mkuu uisome hii:
Mtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012
Tofauti
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316
Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000
Swali:
Kenya wanasomba gesi baharini....?
Ingieni huko tafiti ndogo tu mjionee....
Mshana Jr
Chadema Haina rasilimali watu katika safu ya uongozišWala haina ubishi, kila kitu kipo wazi kwa sasa, CHADEMA nawapongeza kwa hii style mliyokuja nayo, hata kule Kenya, kuitoa KANU wapinzani walishika urafiki nao na kujua siri zao zote.
Hakukuwa na haja ya maandamano, wala kupigana ila mwisho wa siku ilikuwa rahisi kama kumsukuma mlevi, hivyo plan master wa CHADEMA kwa hili Big up.
Nendeni nao hivyo hivyo wameshalegea, 2025 mnawalegezea ili kuwapasua mdogo mdogo, then 2030 tutegemee chama kipya na watu wapyaa! CCM bye bye 2030.
Rostam asinge enda huko basi kuwekeza kwenye hiyo gesi.[emoji16][emoji16][emoji16]Ni kesho kutwa mkuu
Mtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012
Tofauti:
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316
Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000
Wakuu ingieni huko mjionee...Kenya wanachota gesi baharini?
Duh! Aiseeeš²Wala haina ubishi, kila kitu kipo wazi kwa sasa, CHADEMA nawapongeza kwa hii style mliyokuja nayo, hata kule Kenya, kuitoa KANU wapinzani walishika urafiki nao na kujua siri zao zote.
Hakukuwa na haja ya maandamano, wala kupigana ila mwisho wa siku ilikuwa rahisi kama kumsukuma mlevi, hivyo plan master wa CHADEMA kwa hili Big up.
Nendeni nao hivyo hivyo wameshalegea, 2025 mnawalegezea ili kuwapasua mdogo mdogo, then 2030 tutegemee chama kipya na watu wapyaa! CCM bye bye 2030.
Hata Kanu ilikuwa nazo mkuuCCM ina mbinu 100 za kushinda Uchaguzi. Hadi Sasa imetumia 5 tu. Bado 95, bung'aa hapo
Umenena vyema mkuuNi kwamba, 2025 hawatamsumbua Mama kwenye urais, ika watapiga viti vya ubunge swafi, mahaba yataendelea...
2030... MAMA wala hatapambana sana, cha kupata laana za Wazanzibara wenzangu ni nini?
Ataacha nature itake its path, hapo ndo Chadema watapiga vizuri kabisa, CCM itaanguka.