py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
Kuelekea Mechi ya Yanga na Algiers
siku ya jumamosi hutawaliwa na sayari ya zohar na nyota yake ni ya mbuzi na kondoo.Sayari hii ni nyeusi na inahusika na mambo mabaya kama kuvunjika kwa vitu,magomvi,hujuma nk
yanga Algers
8
Mechi inachezwa tarehe 8 na namba 8 ni shufaa inagawanyika kwa mbili...Algiers namba yake kitabibu ni 1,Yanga namba yake kitabibu ni 25,hivo Algiers na yanga wote wana namba witiri..
A=1
Y=25
A=1+12=13+8=21
Y=25+1=26+8=34
Yanga=34
Algiers=21
NB:Mechi hii Yanga atashinda uhakika kwa 100% tena hatoruhusu mabao,sababu namba ya siku na tarehe na nyota inambeba na ndivyo inavyosema.tarehe 8 ni namba shufa na mwezi wa nne pia ni shufa na mahesabu ya kitabibu yanaonyesha namba za yanga zinalingana,21 ni witiri ukichukuwa 21/8 haigawanyiki ila ukichukuwa 28/8 inagawanyika,hivo Yanga tayari wameshashinda mechi hii.lakini wasiwasi wangu siku mechi inayochezwa hutawaliwa na nyota ya zohar,ktk mechi hii tunaweza kushuhudia kadi,ugomvi,injury au chochote kibaya.