utaanza na yupi?

utaanza na yupi?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
Umeitwa kutoa suluhisho ktk familia hii, mtoto kala ada ya shule,baba kahonga mtaji wa familia,mama ana ujauzito wa jirani! Je? utaanza na tatizo lipi?
 
Nazaa na mama oooh sorry Naanza na mtoto!
 
katoto napeleka polisi, mama narudisha kwa wazazi wake, nahamia kule nilikohonga mtaji
 
Back
Top Bottom