donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Mkuu natafuta confidence, nasakkwa kazinni siku 3 sijaonekanna ndo nataka nikawatokee kama mzimu
Nimecheka sana, sasa si watajua umekula gambe kutokana na harufu!!!Mkuu natafuta confidence, nasakkwa kazinni siku 3 sijaonekanna ndo nataka nikawatokee kama mzimu
Sent using Jamii Forums mobile app
K vant daah, siwezi isahau maishaniKyaaa mi nyagi siipendi, hapo ungeweka kitu cha k vant, dah mapeema nimewaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntanunua ndizi mbivu mkuuNimecheka sana, sasa si watajua umekula gambe kutokana na harufu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kyaaa mi nyagi siipendi, hapo ungeweka kitu cha k vant, dah mapeema nimewaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu kumeza!
Hiyo meza inatia kinyaa
Sijakuelewa mkuuWewe hivi nazeekea nini mimi?
Nimekuona nikajiuliza moyoni uzee unaiitaSijakuelewa mkuu
Hahahahaaa kwanini umewaza hivyo?Nimekuona nikajiuliza moyoni uzee unaiita
Hiyo avatar yako kama mzulu kwa madiba2Hahahahaaa kwanini umewaza hivyo?