Uswahilini lazima uwe muangalifu.

ha ha ha thanks for making me laugh this evening!Wangeweka kufuli gari lote ingekuwa vizuri!!
 
Hahahaaaa,sicheki kwa furaha bali kwa huzuni kubwa maana hii inaashiria kuwa amani na usala wetu katika jiji hili haupo kabisaaaa na serikali imeshindwa kudhibiti hali hii,soooo sad.
 
ha ha ha thanks for making me laugh this evening!Wangeweka kufuli gari lote ingekuwa vizuri!!

Hilo litakuwa kabati tena na ugumu utakuwa kwenye kulihifadhi iwapo atataka kuondoa
 
Mtu kama huyu kodi yake inakwenda wapi?, si ilitakiwa itumike pamoja na mambo mengine kumpatia ulinzi yeye na mali zake?
 
Mtu kama huyu kodi yake inakwenda wapi?, si ilitakiwa itumike pamoja na mambo mengine kumpatia ulinzi yeye na mali zake?

kama igp anaibiwa upanga wa dhahabu itakuwa mtz wa kawaida
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…