uswahili kuna vituko

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
jamaa wanzipiga kavu kavu hao
 

Attachments

  • uswazi.jpg
    8.1 KB · Views: 885
Khaaaaaaaaaaaaa! Sina la kusema!
 
Kwatafakari yangu naona hapa atakayeshidwa lazima aliwe mzigo!
 
jamaa wamepigana mpaka nguo zimechanika zote! ikifikia kuchanika ngozi ndo wataacha
 
Nadhani mmoja kamfumania mwenzake akamkurupusha bila nguo,kufika nje wakaanza kuzichapa jamaa akaamua nae avue nguo ili waende sawa, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…