USUPER STAA KAZI -Kuna watu wanachora

USUPER STAA KAZI -Kuna watu wanachora

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,263
Utachorwa sana
 
Attachments

  • 1424715669226.jpg
    1424715669226.jpg
    61.2 KB · Views: 1,976
....heheh hiki kikaragosi kinatoa tafsiri nyingi

1. dayadomo anadate na mchuchu kariba 'mama yake'

2. dayadomo hajiwezi bila mbeleko toka kwa zeledibosi

3. dayadomo analelewa
 
Umesahau moja,
it looks like Zari kaenda machimbon akachimba toto almasi
 
hiyo cartoon inamaanisha Zari kashamalizana kuchuna wengine,yaani she is a gild digger..sasa anataka amchune diamond..
in other word we say the lady Zari is a gold digger ..mchunaji and she is out to dig diamond from diamond the msanii
 
Uchambuz exclusive...hivi ni kweli…? Mbona Almasi hana hela kiviile
 
Back
Top Bottom