Pole sana mkuuHabari zenu wakuu,
Naomba nisiwe na maneno mengi sana, mimi ni mwanafunzi hapa Chuo Kikuu Mzumbe mwaka wa pili. Hapa chuoni kuna usumbufu na kero kubwa zinazo endelea dhidi ya wanafunzi, uongozi wa chuo naona umechoka na wanafanya kazi kwa mazoea na ubabe mkubwa. Kwa mfano, sasa hivi wamegoma kufanyia watu usajili na kuwaambia waahirishe mwaka mpaka mwaka ujao kwa madai ya kwamba wamechelewa kufanya usajili.
Wanaelewa kwamba kuna watu wanalipiwa ada na bodi ya mkopo na kuna wanafunzi wanajilipia ada kupitia boom wanazopewa na bodi lakini bado wameshindwa kuelewa na kufungua usajili kwa ambao hawakua wamefanya usajili hapo mwanzo. Sababu za kuahirisha mwaka au mitihani ziko wazi na zinaeleweka vizuri kwamba, mtu ataahirisha mwaka kama atakua na matatizo ya kiafya au ana matatizo ya kifedha.
Ofisi zote wanatoa jibu moja tu rahisi la 'nakushauri ahirisha mwaka', sasa naahirisa vipi mwaka na ada ninayo? pay in slips ninazo mkononi na mtu anakushauri uahirishe mwaka? huu ni utaratibu wa vyuo vyote Tanzania? Waziri wa elimu, na watu watu wenye mamlaka ya kusaidia wanafunzi waendelee na masomo yao naomba mfike hapa chuoni mlitazame hilo. Wanafunzi ambao hwajasajiliwa ni wengi na muda wa kufanya mtihani umekaribia. Rais Magufuli naomba umulike na hapa chuoni .
Huyu jamaa ni wa kupuuzwa kabisa maana hafahamu kile anachokizungumzia.Pole sana mkuu
Onana na Dean kwa uelekeo zaidi otherwise mtafute mwenyekiti wa CCM ndio mwenye mamlaka mkoani badala ya wenye mamlaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa post hana weledi, ufahamu na maadili juu ya kile anajojaribu kuzungumzia. #apuuzweyana roho mbaya tu hayo
Nikiona Jina la Mzumbe University naanza kukumbuka jinsi first wa pale wanavyokuwaga washamba washamba na matraka yaoHabari zenu wakuu,
Naomba nisiwe na maneno mengi sana, mimi ni mwanafunzi hapa Chuo Kikuu Mzumbe mwaka wa pili. Hapa chuoni kuna usumbufu na kero kubwa zinazo endelea dhidi ya wanafunzi, uongozi wa chuo naona umechoka na wanafanya kazi kwa mazoea na ubabe mkubwa. Kwa mfano, sasa hivi wamegoma kufanyia watu usajili na kuwaambia waahirishe mwaka mpaka mwaka ujao kwa madai ya kwamba wamechelewa kufanya usajili.
Wanaelewa kwamba kuna watu wanalipiwa ada na bodi ya mkopo na kuna wanafunzi wanajilipia ada kupitia boom wanazopewa na bodi lakini bado wameshindwa kuelewa na kufungua usajili kwa ambao hawakua wamefanya usajili hapo mwanzo. Sababu za kuahirisha mwaka au mitihani ziko wazi na zinaeleweka vizuri kwamba, mtu ataahirisha mwaka kama atakua na matatizo ya kiafya au ana matatizo ya kifedha.
Ofisi zote wanatoa jibu moja tu rahisi la 'nakushauri ahirisha mwaka', sasa naahirisa vipi mwaka na ada ninayo? pay in slips ninazo mkononi na mtu anakushauri uahirishe mwaka? huu ni utaratibu wa vyuo vyote Tanzania? Waziri wa elimu, na watu watu wenye mamlaka ya kusaidia wanafunzi waendelee na masomo yao naomba mfike hapa chuoni mlitazame hilo. Wanafunzi ambao hwajasajiliwa ni wengi na muda wa kufanya mtihani umekaribia. Rais Magufuli naomba umulike na hapa chuoni .
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri,watanzania tusiwe wepesi wa kuhukumu mtu au taasisi kwa kusikiliza hoja za upande mmoja. Sasa ni wazi mtoa hoja ni mzembe na mpuuzi wa kupuuzwa.Yani any amount na bado hakulipa.*Kwa uelewa wangu
Kwa faida ya wengine pia
Laliga, waweza kurejea haya matangazo hapa,
View attachment 1356413
Mnamo tarehe 10/12/2019, lilitoka tangazo kuwa wanafunzi wote ambao hawajakamilisha usajili, walipe kiasi chochote (hata Sh. 1000 out of ada yote) waweze kusajiliwa deadline iliwekwa 17/12/2019, isitoshe muda uliongezwa kwa kutoa tangazo tarehe 18/12/2019
View attachment 1356416
kuwakumbusha wamalizie usajili, na mnamo
tarehe 7/02/2020,
View attachment 1356415
ndipo lilitoka tangazo la wanafunzi kuahirisha masomo na mitihani kwa maana ya kwamba wanafunzi wa astashada na stashahada wanaanza mtihani tarehe 10/02/2020, na kikawaida wanafunzi hawawezi fanya mtihani bila kukamilisha usajili na ada ya muhula husika.
Chuo kikuu Mzumbe Kinathamini hali zote za wanafunzi, ndio maana waweza kulipa ada hata sh. 1000 ili uweze kusajiliwa
Hapa umma umepotoshwa, tujitahidi kuwa na mawazo chanya na kukusudia katika kujenga zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
1000/=Pole sana mdau, hicho chuo hasa bwana mmoja anaitwa Daniel Ganka Nyamsogoro hana busara kabisa. Kuruhusu watu wajisajili inatumia gharama gani? Msomi mwenye elimu kubwa ila anamaamuzi ya kijinga.
Wewe ni mtu wa MUSO Media, acha ujinga kichaa wewe mmeshindwa kuwapambania watu wasajiliwe waendelee na masomo ila mpo mpo tu hamjielewi. Sawa wanafunzi wana makosa ila wangepigwa hata fine sio kuwalazimisha wasimamishe masomo mpaka mwaka ujao. MUSO hakuna cha maana mnacho kifanya zaidi ya kusimamia michezo na burudani, igeni mfano kwa wenzenu wa UDSM. Rais wa chuo bwana Twalib kwenye hili swala hajaongea chochote yani hana cha maana anacho weza kusimamia. ujinga mtupu*Kwa uelewa wangu
Kwa faida ya wengine pia
Laliga, waweza kurejea haya matangazo hapa,
View attachment 1356413
Mnamo tarehe 10/12/2019, lilitoka tangazo kuwa wanafunzi wote ambao hawajakamilisha usajili, walipe kiasi chochote (hata Sh. 1000 out of ada yote) waweze kusajiliwa deadline iliwekwa 17/12/2019, isitoshe muda uliongezwa kwa kutoa tangazo tarehe 18/12/2019
View attachment 1356416
kuwakumbusha wamalizie usajili, na mnamo
tarehe 7/02/2020,
View attachment 1356415
ndipo lilitoka tangazo la wanafunzi kuahirisha masomo na mitihani kwa maana ya kwamba wanafunzi wa astashada na stashahada wanaanza mtihani tarehe 10/02/2020, na kikawaida wanafunzi hawawezi fanya mtihani bila kukamilisha usajili na ada ya muhula husika.
Chuo kikuu Mzumbe Kinathamini hali zote za wanafunzi, ndio maana waweza kulipa ada hata sh. 1000 ili uweze kusajiliwa
Hapa umma umepotoshwa, tujitahidi kuwa na mawazo chanya na kukusudia katika kujenga zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibaraka wa MUSO kitu mnaweza ni kujazana kwenye kaofisi kenu tu vitu vya msingi kusimamia hamuwezi.1000/=
Huu ujinga utakwisha siku MUSO ikiwa taasisi yenye nguvu, kwa sasa endeleeni kusimamia michezo na burudani.baadhi yenu mliamua kupuuzia taarifa hizi na kuendelea kufanya mambo yaliyo kinyume na maagizo ya Uongozi wa Chuo.
Acha kuupotosha umma kwa masilahi binafsi. Na taarifa zako ni za kupuuzwa...
Wazee wa deadtime hawaishagi vyuoni pia huwa hawakosi sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
We mpuuzi kweli. Komaa na saiz yako.Kibaraka wa MUSO kitu mnaweza ni kujazana kwenye kaofisi kenu tu vitu vya msingi kusimamia hamuwezi.