Ningependa kushea hiki kidogo na ninyi wenzangu nisikie maono yenu.
Naamini kuwa kila mtu anapenda au angetaka kutenda na kutendewa ustaarabu, lakini kuna sehemu mimi binafsi naona ustaarabu ukizidishwa unakosa maana kabisa.
Inawezekanaje mtu uwe mstaarabu chumbani?
Uko na mpenzi wako chumbani kisha unaogopa hata kumwambia kuwa dear hayo mav.. zi yamekua marefu mno kanyoe!! nalo hili unajiskia nishai kusema!
Mwanaume mzima nawe unataka kula TUNDA kistaarabu!! kesho mkeo akipakatwa kihuni huko nnje na kulowea utalaumu??
kwa mtazamo wangu ustaarabu uliopitiliza ungeishia sebuleni tu kwa kweli na si bedroom!!

Kwa iyo, mi cjaelewa apa , ata akitaka tunda asiwe mstaarabu akikubaka ni sawa?ilimradi tu akikubembeleza ni ustaarabu ulopitiliza.
Ningependa kushea hiki kidogo na ninyi wenzangu nisikie maono yenu.
Naamini kuwa kila mtu anapenda au angetaka kutenda na kutendewa ustaarabu, lakini kuna sehemu mimi binafsi naona ustaarabu ukizidishwa unakosa maana kabisa.
Inawezekanaje mtu uwe mstaarabu chumbani?
Uko na mpenzi wako chumbani kisha unaogopa hata kumwambia kuwa dear hayo mav.. zi yamekua marefu mno kanyoe!! nalo hili unajiskia nishai kusema!
Mwanaume mzima nawe unataka kula TUNDA kistaarabu!! kesho mkeo akipakatwa kihuni huko nnje na kulowea utalaumu??
kwa mtazamo wangu ustaarabu uliopitiliza ungeishia sebuleni tu kwa kweli na si bedroom!!
Hivi mkishavua nguo kuna ustaarabu tena???
hahahahaaa, nimecheka sana hapo kwenye red. Anagegeda 'kiofisa' asitoke jasho. Mke akishakutana na 'mhuni' lazima ahamie. Mwanamke shurti 'ashuhulikiwe' perfectly bhana. CC mamaafacebook
Mbona hujatuuliza tuna umri gani? Na kama ni njuka, chuwa au wahitimu?
Babu is veru curious!
Hahahah kweli kabisa Babu
Maana nyuzi za leo za ajabu sana