Ustaadh amlawiti Mwanafunzi wake wa kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ustaadh amlawiti Mwanafunzi wake wa kiume

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkanya, Feb 22, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mkanya

  Mkanya JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waungwana amani na iwe juu yenu,Ni habari ya kusikitisha kafanyiwa kijana wa form 1.
  Ustaadh mmoja maarufu saana katika jiji la Tanga kwa jina Kujata amemlawiti mwanafunzi mmoja wa form 1 katika shule ya secondary Jumuhia iliyopo jijini Tanga hustadhi huyo alikuwa ni mfundisha katika shule ya Mahawali iliyopo Tanga mjini shule hiyo kama mkiangalia vizuri katika shule kumi zilizo shika mkia kwa matokeo ya form 4 utaona hilo jina na huyo Ustaadhi alikuwa akifundisha hapo.

  Inasemekana huyo ustadhi ndio ulikuwa mchezo wake wakuwachezea watoto wadogo sasa akaja kuumbuka Baada yakuchukuwa wanafunzi na kwenda nao Dar kwenye mauridi ndio akamwambia mwanafunzi wake mmoja aje amkande mguu baada ya kumkanda mguu huyo ustaadhi ndio akamuingilia yaani akamlawiti huyo kijana wa form one wakiume mpaka lile puru la nyuma likatoka kisha akampatia pesa aende hospital alivyofika hospital wauguzi wakambana sana kisha akasema nini nini kilicho mkuta.

  Inavyosemekana ni kwamba mpaka sasa kuna habari nilizosikia kuwa hustadhi yupo Chumbageni polisi kwa uchunguzi.

  Ustaadh ana wake wawili.

  Nawakilisha.
   
 2. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Mashehe na maaskofu ni watu hatari sana! ..
   
 3. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu kama lugha haipandi sio lazima kuandika......unaweza ukageneralize na ukaeleweka vilevile....just a thought!!

  Unaweka kibwagizo hiki ili ieleweke vipi mkuu?........sijapata maudhui yako hapo kidogo....bainisha tafadhali
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Nimepata kusikia Tanga mtoto wa kiume analindwa zaidi ya mtoto wa kike.Sijafanya utafiti lakini kwa kuangalia tu hii mikoa ya ukanda wa pwani na Zanzibar namba ya mashoga ni kubwa sana ukilinganisha na mikoa minigine.Tafadhali naomba kama kuna mwanajamvi atakeyeweza kunipa sababu za msingi ni kwanini mikoa ya pwani na Zanzibar mashoga ni wengi hatua zipi zichukuliwe ili kupunguza au kumaliza tatizo la wanaume wanaopenda kulawiti.Ustadhi Kujata kaidhalilisha taaluma na familia yake kwa ushenzi alioufanya bila shaka sheria itachukua mkondo wake.
   
 5. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani Sumbawanga kuna wachawi kuliko sehemu yoyote ile Tanzania?!?! Kasumba tu hizo.....
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mambo ya kusikitisha haya wajameni..Kweli mwisho wa dunia umekaribia wandugu !
   
 7. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Mkuu Mwanzage bado hujanisaidia.
   
 8. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nilichotaka kuwashia tochi hapo mkuu ni kwamba hizo zote ni kasumba na maneno ya watu ya muda mrefu tu ndio yamegeuzwa kuwa ya kweli....mimi pia nilisikia kuwa kuna watu wanaitwa mumiani wananyonya damu...ikawa natoka baruti kila nihisipo kuwaona....kumbe.....maneno ya watu tu. Sasa wewe kusikia eti watoto wa kiume wanalindwa sana kuliko wa kike....uzushi tu huo kamanda...elekeza energy yako katika kufanya utafiti kwa nini ukiteuliwa/kuchaguliwa kuwa kiongozi wa Tanzania una high possibility ya kuandamwa na ugonjwa uitwao 'ufisadi'?
   
 9. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sana tena sana tu....kiungo cha binadamu mwenzio (albino) ukigeuze kuwa utajiri....
   
 10. Mkanya

  Mkanya JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio tatizo lako utakaa vivyohivyo hautoelewa kamwe. Maana unaupeo mdogo wakuelewa.
  Unawazidi nini walioelewa hikikitendo umekipenda sana cha huyo dogo kufanyiwa eeeh maana hakijakugusa hata kidogo.

  Mashetani yako yanakudanganya hizo rugha nilizotumia ndio sahihi sio vinginevyo . uwazavyo wewe nikutokana na uwezo mdogo wa kufikili ungekuwa unauwezo wa kufikili usingeshindwa kugundua nilichoandika.
  Ficha upumbavu wako na uweke wazi hekima zako.
  Nyinyi ndio mnao furahi pindi watoto wanapolawitiwa hata halikugusi , wala hauonyeshi kusikitishwa loh!!!!! umeona lugha tu!!
   
 11. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #11
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona umekuwa mkali ghafla Kamanda?!?! Deflate Upepo huo na uzungumzie mada uliyoileta hapa.....Soma thread tena uone nimesema nini baada ya mchangiaji mmoja kusema dunia inafikia tamati.
  Yes nasema tena hakuna neno "hustadhi" na mengineyo yoote niliyoyabadilisha rangi....kasome tena huko ulikoitoa hii habari na uliza watu then watakwambia maneno sahihi ya kuyatumia....
  Kama ungekuwa makini na umepasi darasa tatu ungegundua ya kuwa sijabisha kuhusu tukio lenyewe kutokea au kutotokea maana sijaisikia hiyo habari...
  Huh?!
  Duh nina mashetani tena mkuu...Subiani...Jini Bahri...Makata....Kibwengo...au nani tena....Nipunge basi....
  I cant help it....Lugha Kamanda....
   
  Last edited: Feb 22, 2009
 12. S

  Sahiba JF-Expert Member

  #12
  Feb 22, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila shaka huyu jamaa ni mkurya wa kule musoma.
   
 13. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sema wewe kuku, nikisema mimi bata.......
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...