Haaaa..Haaaa sijaandikaa spika ni Nani ila nimemzunguzia Dr tulia Ackson...umenipata Eheeeee.....!!
Lowassa inasemekana anampigia debe Ndugai kwani alikuwa kwenye kambi yake wakati wa uchaguzi wa ndani wa CCM
Sijasoma ulicho kiandika hapa. Lakini kwa ufupi ni kwamba spika wa bunge la 11 ni Job Ndungai.
Lowassa inasemekana anampigia debe Ndugai kwani alikuwa kwenye kambi yake wakati wa uchaguzi wa ndani wa CCM
Ingawa Dr Tulia hazungumziwi sana kwenye mtanange huu wa uspika lakini ni ngumu sana kwa mwanamama huyu kutenda haki kwa wapinzani.
This is basing on the fact siku zote yeye kwa nature ya kazi yake kama AG msaidizi ni kuipigania serikali kisheria hasa kwenye mashauri mbalimbali ya kimahakama.
All in all hata kama akichaguliwa ni ngumu kuwaburuza watu kama kina Lissu and his group.
Mtazamo wangu spika atashinda Ndugai.

Unamjua Msukuma? Alikuwa kwenye kambi ya nani? Unajua Msukuma na Lowassa wana uhusiano gani sasa hivi? Acheni kukariri mambo.
Lowassa ni kama mfu anayesubiri kutangaziwa tarehe ya kuzikwa tu. Hana jipya lolote zaidi ya kujinyea tu.
Tatizo kubwa litakaloendelea kuitafuna demokrasia nchi hii ni ukweli kwamba idadi kubwa ya watumishi wa umma na hasa wenye nyadhifa kubwa katika ngazi ya maamuzi kuwa ni makada wakubwa wa CCM. Tumejionea kesi ya mita 100 ilivyoendeshwa na kuamuliwa kimizengwe na ikacheleweshwa kutolewa hukumu hadi siku ya ijumaa ili isipatikane nafasi ya kukata rufaa. Tunajionea sasa baada ya kazi nzuri aliyoifanyia CCM, sasa CCM inataka kumzawadia Dr Tulia nafasi kubwa ya uspika wa Bunge. Bila kupata katiba mpya kuyaondoa haya ni vigumu kwa upinzani kuja kushika dola.
Mkuu Kayanda mtebwe, maswali haya yalikuwa ya msingi sana!.Mchakato wa kumtafuta kada Wa CCM pale jikoni bungeni yamefikia patamu ambayo imemuleta Dr Tulia Ackson Mwansasu
1.Je! Dr Tulia Amejiuzulu nafasi na nyazifa zake...??
Wanajamvi nawasisha maoni, mawazo, mitazamo yangu....