Me naenda zangu jikoni nanoa kisu huku maji yanachemka, mdomoni najiimbia zangu kitu cha marehemu Ongala- Kifo Kifo...
mengineyo ni historia tu.😛ainkiller:
Sijui kwa kweli. Ila ilimtokea mama mmoja rafiki yangu. Alifuma vitu laiv kabisa akakimbia
kumwita shogaake. Kurudi, wakakuta mechi imeisha na wachezaji wameenda zao!