Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,359
Kipo Kwa kuwa hakuna ukweli kwenye maandishi Hadi pale yatakapokuwa revealed machoni na nafsini mwako na ndio maana Bible imekaa Kama fumbo.Kuna kitu watu huwa nasikia wakisema na pia naamini inawezekana, kknaitwa REVELATION /UFUNUO(MAFUNUO). how do i come to this point.
Mwakasege ni mwalimu mzuri sana,na anaweza kua na majib ya maswali yako yote, mimi hupenda kumfatilia.Inawezekana hapa si mahala pake lakini ningependa kusaidiwa na wahusika ambao najua wapo hapa.
Ni vile nimelitafuta jukwaa la dini katika forums zilizopo na sijaliona.
HIvi, mantiki ya kusoma Biblia iko wapi? Kwakifupi tu ni kwamba sisi wengine (kama walivyo wengi) tumezaliwa katika dini. Kanisani nakwemda toka sijitambui mpaka najielewa hivi.
Nikiwa mtoto mdogo kabisa nimeshashika tayar amri zoote kulingana na utaratibu wa kanisa ambalo nimekua nikisali (ambalo nimekuta wazaz wanasali nami nikafuata humo, though baada ya kuoa nikaamua kubadili mwelekeo na ninasali kanisa lenye mlengo mwingine, japo ni ukristo tu kama ambavyo nilizaliwa).
Sasa miaka yoote hii, tika sijui kusoma, nimekua nikisia mahubiri, maandiko ya biblia, mpaka nafikia kujua kusoma ,ujana na sasa utu uzima, nimekua nikisikia na kusoma habar za Mungu na Yesu na mitume wake na historia yao nzima katika maandika na hii imenifanya kuwa kama naijua biblia.
Sio yote in such na sijawahi kuisoma yoote kimfululizo nikaimaliza but ile kugusa hapa na pale na kusikiliza na kusikiliza, tena na tena all my life mpaka sasa third floor ya umri. Na hii imenifanya kwamba, 90% ya chochote utakacho au yeyote yule atakayezungumza kuhusu maandika ya Biblia, NAVIJUA.
Hali hii kiukwel, inanitaabisha sana.
Maana hata leo asubuh nilipochukua biblia nisome (maana niko kwenye maombi yangu tu binafsi) honestly,nimejikuta kuboreka kias flan na ndio likanijua swali hili nikajiuliza, NASOMA MAANDIKO HAYA ILI IWEJE?? ILI NIPATE NINI??MBONA SIONI KIPYA, I KNOW THESE STUFFS, AU KUNA NAMNA LABDA NAPASWA KUISOMA KIUTOFAUTI BUT HOW?
ndio namuomba Mungu kabla ya kusoma but MBONA NILICHOKIONA JANA NA JUZI NDIO HIKI HIKI AMBACHO TAYARI NAKIJUA???...
kuna ulazima gani wa kuendelea kusoma mambo ambayo tayar nimekua nikiyasikia na kusoma miaka mingi mpaka leo??...
Kuna kitu watu huwa nasikia wakisema na pia naamini inawezekana, kknaitwa REVELATION /UFUNUO(MAFUNUO). how do i come to this point.
Yan kwamfano leo nimeanza kusoma Mathew Chapter 2, ile kuanza tu habari kuzaliwa kwa Kristo, akilini tayari ufahamu wangu ukajawa na ile flow nzima ya matukio mpaka mpaka kufa kwake, sasa najiuliza, NIENDELEE KUSOMA ILI IWAJE??????..
Wakuu wenye dini na imani, naomba mawazo na kusaidiwa katika hili.
Natangukiza shukrani.
Rabbon Tayana-wog Carleen matunduizi na wengine wote
View attachment 3032379
Neno la Mungu ni jipya kila siku tunahitaji upatanisho wa roho mtakatifu wakati wote kumbuka binadamu tunatenda dhambi hivyo ukifanya dhambi roho mtakatifu anaondoka yule adui ankuja kukuangamizaNeno la Mungu ni lile linalokuwa moyoni mwako.
Biblia huna haja ya kuisoma mara nyingi ikiwa tayari unaijua.
Soma vitabu vingine hasa vile walivyovitoa, soma Quran, ongeza ujuzi na maarifa
Hata Kanisani sio pakwenda kama tayari umefika level fulani ya ufahamu.
Labda upeleke watoto nao wakajifunze.
Vinginevyo utaona uko bored ukifika Kanisani kwa sababu mambo mengi 99% ni marudio na unayajua
Roho Mtakatifu ndie hukupa tofauti na msisimko kwenye maandiko. Ukiongozwa nae kila siku utaona unavutiwa kusoma kitu kile kile lakini kwa msisimko tofauti na mafunuo tofauti. Otherwise utaona biblia ni kama gazeti tu.Inawezekana hapa si mahala pake lakini ningependa kusaidiwa na wahusika ambao najua wapo hapa.
Ni vile nimelitafuta jukwaa la dini katika forums zilizopo na sijaliona.
HIvi, mantiki ya kusoma Biblia iko wapi? Kwakifupi tu ni kwamba sisi wengine (kama walivyo wengi) tumezaliwa katika dini. Kanisani nakwemda toka sijitambui mpaka najielewa hivi.
Nikiwa mtoto mdogo kabisa nimeshashika tayar amri zoote kulingana na utaratibu wa kanisa ambalo nimekua nikisali (ambalo nimekuta wazaz wanasali nami nikafuata humo, though baada ya kuoa nikaamua kubadili mwelekeo na ninasali kanisa lenye mlengo mwingine, japo ni ukristo tu kama ambavyo nilizaliwa).
Sasa miaka yoote hii, tika sijui kusoma, nimekua nikisia mahubiri, maandiko ya biblia, mpaka nafikia kujua kusoma ,ujana na sasa utu uzima, nimekua nikisikia na kusoma habar za Mungu na Yesu na mitume wake na historia yao nzima katika maandika na hii imenifanya kuwa kama naijua biblia.
Sio yote in such na sijawahi kuisoma yoote kimfululizo nikaimaliza but ile kugusa hapa na pale na kusikiliza na kusikiliza, tena na tena all my life mpaka sasa third floor ya umri. Na hii imenifanya kwamba, 90% ya chochote utakacho au yeyote yule atakayezungumza kuhusu maandika ya Biblia, NAVIJUA.
Hali hii kiukwel, inanitaabisha sana.
Maana hata leo asubuh nilipochukua biblia nisome (maana niko kwenye maombi yangu tu binafsi) honestly,nimejikuta kuboreka kias flan na ndio likanijua swali hili nikajiuliza, NASOMA MAANDIKO HAYA ILI IWEJE?? ILI NIPATE NINI??MBONA SIONI KIPYA, I KNOW THESE STUFFS, AU KUNA NAMNA LABDA NAPASWA KUISOMA KIUTOFAUTI BUT HOW?
ndio namuomba Mungu kabla ya kusoma but MBONA NILICHOKIONA JANA NA JUZI NDIO HIKI HIKI AMBACHO TAYARI NAKIJUA???...
kuna ulazima gani wa kuendelea kusoma mambo ambayo tayar nimekua nikiyasikia na kusoma miaka mingi mpaka leo??...
Kuna kitu watu huwa nasikia wakisema na pia naamini inawezekana, kknaitwa REVELATION /UFUNUO(MAFUNUO). how do i come to this point.
Yan kwamfano leo nimeanza kusoma Mathew Chapter 2, ile kuanza tu habari kuzaliwa kwa Kristo, akilini tayari ufahamu wangu ukajawa na ile flow nzima ya matukio mpaka mpaka kufa kwake, sasa najiuliza, NIENDELEE KUSOMA ILI IWAJE??????..
Wakuu wenye dini na imani, naomba mawazo na kusaidiwa katika hili.
Natangukiza shukrani.
Rabbon Tayana-wog Carleen matunduizi na wengine wote
View attachment 3032379
Inawezekana hapa si mahala pake lakini ningependa kusaidiwa na wahusika ambao najua wapo hapa.

Neno la Mungu ni jipya kila siku tunahitaji upatanisho wa roho mtakatifu wakati wote kumbuka binadamu tunatenda dhambi hivyo ukifanya dhambi roho mtakatifu anaondoka yule adui ankuja kukuangamiza
Biblia huijui ndugu, sikiliza mahubiri ya watu wa rank kubwa zaidi yako kama kina uebert angel uone na usikie nn maana halisi ya ufunuo, biblia inaishi isipo kufunulia uielewe na hauta weza utasoma tu kwa kua unaweza kusoma then basi.Inawezekana hapa si mahala pake lakini ningependa kusaidiwa na wahusika ambao najua wapo hapa.
Ni vile nimelitafuta jukwaa la dini katika forums zilizopo na sijaliona.
HIvi, mantiki ya kusoma Biblia iko wapi? Kwakifupi tu ni kwamba sisi wengine (kama walivyo wengi) tumezaliwa katika dini. Kanisani nakwemda toka sijitambui mpaka najielewa hivi.
Nikiwa mtoto mdogo kabisa nimeshashika tayar amri zoote kulingana na utaratibu wa kanisa ambalo nimekua nikisali (ambalo nimekuta wazaz wanasali nami nikafuata humo, though baada ya kuoa nikaamua kubadili mwelekeo na ninasali kanisa lenye mlengo mwingine, japo ni ukristo tu kama ambavyo nilizaliwa).
Sasa miaka yoote hii, tika sijui kusoma, nimekua nikisia mahubiri, maandiko ya biblia, mpaka nafikia kujua kusoma ,ujana na sasa utu uzima, nimekua nikisikia na kusoma habar za Mungu na Yesu na mitume wake na historia yao nzima katika maandika na hii imenifanya kuwa kama naijua biblia.
Sio yote in such na sijawahi kuisoma yoote kimfululizo nikaimaliza but ile kugusa hapa na pale na kusikiliza na kusikiliza, tena na tena all my life mpaka sasa third floor ya umri. Na hii imenifanya kwamba, 90% ya chochote utakacho au yeyote yule atakayezungumza kuhusu maandika ya Biblia, NAVIJUA.
Hali hii kiukwel, inanitaabisha sana.
Maana hata leo asubuh nilipochukua biblia nisome (maana niko kwenye maombi yangu tu binafsi) honestly,nimejikuta kuboreka kias flan na ndio likanijua swali hili nikajiuliza, NASOMA MAANDIKO HAYA ILI IWEJE?? ILI NIPATE NINI??MBONA SIONI KIPYA, I KNOW THESE STUFFS, AU KUNA NAMNA LABDA NAPASWA KUISOMA KIUTOFAUTI BUT HOW?
ndio namuomba Mungu kabla ya kusoma but MBONA NILICHOKIONA JANA NA JUZI NDIO HIKI HIKI AMBACHO TAYARI NAKIJUA???...
kuna ulazima gani wa kuendelea kusoma mambo ambayo tayar nimekua nikiyasikia na kusoma miaka mingi mpaka leo??...
Kuna kitu watu huwa nasikia wakisema na pia naamini inawezekana, kknaitwa REVELATION /UFUNUO(MAFUNUO). how do i come to this point.
Yan kwamfano leo nimeanza kusoma Mathew Chapter 2, ile kuanza tu habari kuzaliwa kwa Kristo, akilini tayari ufahamu wangu ukajawa na ile flow nzima ya matukio mpaka mpaka kufa kwake, sasa najiuliza, NIENDELEE KUSOMA ILI IWAJE??????..
Wakuu wenye dini na imani, naomba mawazo na kusaidiwa katika hili.
Natangukiza shukrani.
Rabbon Tayana-wog Carleen matunduizi na wengine wote
View attachment 3032379
ujasoma vizuri rafiki yangu neno ni jipya kila siku.. inategemea na unavyolisoma kama unascan ndio litakuwa halimanufaa yoyote kwako lakini kama ni kwaajili ya ufahamu haliwezi kuwa sawa..Neno la Mungu ni lile linalokuwa moyoni mwako.
Biblia huna haja ya kuisoma mara nyingi ikiwa tayari unaijua.
Soma vitabu vingine hasa vile walivyovitoa, soma Quran, ongeza ujuzi na maarifa
Hata Kanisani sio pakwenda kama tayari umefika level fulani ya ufahamu.
Labda upeleke watoto nao wakajifunze.
Vinginevyo utaona uko bored ukifika Kanisani kwa sababu mambo mengi 99% ni marudio na unayajua
Duh..Hivi humu jf kuna wachungaji 😁 mbona mada ngumu za dini wanajificha na hivyo viinjili vyao vya shetani mwenye nafsi 3
Naweza nikakubaliana na weweBiblia huijui ndugu, sikiliza mahubiri ya watu wa rank kubwa zaidi yako kama kina uebert angel uone na usikie nn maana halisi ya ufunuo, biblia inaishi isipo kufunulia uielewe na hauta weza utasoma tu kwa kua unaweza kusoma then basi.