Usomaji VITABU

kakamera

Member
Joined
Oct 30, 2016
Posts
29
Reaction score
7
Kwanini WATANZANIA TULIOWENGI HATUPENDI KUJISOMEA VITABU hata Upewe BUREE?
 
Maisha magumu ni sababu mojawapo ya kutokusoma vitabu mkuu.

Haiwekani mtu/ watu wa vijijini akae kusoma vitabu wakati nyumbani hali ni tete aisee! Hivyo unakuta akili yake yote ni jinsi gani afanye familia yake ipate chakula nk.

Ukimwambia kaa soma vitabu atakuona kama unataka kumpotezea muda wa kwenda kupambana ili apate ridhiki.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…